Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,863
hawa walokole wa huku wanajiona wanamjua sana Mungu mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13]
eti sjaolewa ni trick ya shetani ,kwani lazima niolewe mwaka huu,kama sijaolewa mungu kanibariki kingine na kingine