Baba mama na mtoto (BMW)

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
Baba mama na mtoto wao wamelala ghafla usiku

Mtoto: mama nataka nikakojoe
Mama: chukua tochi ukakojoe

Mtoto akanyoosha mkono anatafuta tochi kumbe baba kalala uchi mtoto akashika naniihino ya baba yake akidhani tochi.

Baba (kwa upole) wacha hio hainaga betri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom