Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
- Thread starter
-
- #21
Hahahahaaa Elli you are so creative! Big up! Hii lugha iliyotumika hata jirani hawezi kuistukia kw urahisi! Manake tunamueleza baba mapungufu yake bila kumuadhiri kwa majirani! Na hata wachangiaji wote wamezingatia.....
Baba familia yako tu umeshindwa kuitunza, ona tunavyo chukiana ndani ya hii nyumba, unashindwa hata kumzuia kaka kunichomea kibanda changu cha wana kondoo...?
Baba boma lako limechafuka Baba, hebu ona na bamdogo nae anavyo Pinda na kushadadia tupigwe wakati tukiwa kwenye arakati ya kutafuta uongozi bora wenye amani na maendeleo katika familia yetu...!
Baba hebu toa lile tabasamu nililolizoea na uweke ndita usoni kama marehemu Babu labda naweza kuhisi kweli uko serious na hii familia, maana nahisi kama unataka kututoa kafara!!!!!!!
Mwambie Noah built the Arc before it rained!
Hivi mara baada ya babu kufa, hakutuachia mrithi? nakumbuka marehemu babu alikua na wazee wenzie waliokuwa na maono kama yake, twaweza kwenda kuwaona hao?
majirani walipoambiwa shamba letu (ardhi) haliwahusu, ndio chuki hizi unazoziona zikaanza.
Walizidisha chuki siku yule mbuni mkubwa (air force one) alipotua uani kwetu. Wivu ukawazidi eti kwa nini hakutua kwao.
Tujijue na kujitegemea sasa, majirani wa karibu hatuna.
Sasa naanza kumuelewa babu aliposema mwanae huyu alikuwa bado hajakuwa kuweza kuilea familiaNataman babu afufuke tena jamani
Sasa naanza kumuelewa babu aliposema mwanae huyu alikuwa bado hajakuwa kuweza kuilea familia
Mbaya zaidi nilimsikia jirani anakuteta, anasema eti kwamba wewe na mama siyo wazazi wetu na hustahili kuitwa baba kwa sababu wewe ni "unfit", lakini mimi siamini hayo maneno ya majirani zetu.
Majirani walikwenda mbali zaidi kuwa wewe na mama sio biological parents wetu na ndio maana hamtujali; baada ya wazazi wetu kufa nyie ndio mlikuja kwa babu kumuomba eti mtulee ingawa yeye hakupendelea kabisa lakini kwa kutumia mtandao wenu wa kiharamia mkatuchukua!!
hii bona sikuiskia Mkuu? hivi kumbe wazazi wetu sio halisi? Imeniuma sana hii, how come tusiwe na wazazi halisi? Maskini weee kumbe ndio maana anatuacha tunateseka na kusimangwa hivi??
Daah,inauma kwa kweli. Babu tuonyeshe njia huko uliko.
shida ilianzia hapo kwenye bold, mengine yote ni kusherehesha tu bifuMajirani walipoambiwa shamba letu (ardhi) haliwahusu, ndio chuki hizi unazoziona zikaanza.
Walizidisha chuki siku yule mbuni mkubwa (air force one) alipotua uani kwetu. Wivu ukawazidi eti kwa nini hakutua kwao.
Tujijue na kujitegemea sasa, majirani wa karibu hatuna.