Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
"Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
takataka"Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
View attachment 3452404
Hili nalo limekuwa kama yule wa Arusha.Kutafuta kiki kwenye mitandao."Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
View attachment 3452404
Chawa wewe, mbona mamako anamgwaya Lissu."Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
View attachment 3452404
Kijana.tatizo lako unaongea sana."Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
View attachment 3452404
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁"Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
View attachment 3452404
Mkuu nikuhakikishie hapo hakuna kitu kichwa kimejaa Moshi wa bangi, madawa, UMBEYA kama mwanamke, huyu sio ndio alisema anaweza hata kumzalia diamond ...Sasa Kuna mtu humo., yan wewe mwanaume ulietahiriwa mwenye mavuzi na makende unatamani umbebee mimba mwanaume mwenzako....ndio mbunge huyo eti anapambana na zito...naamin Wana ccm wa kigoma watampa kura zitto tu ..Kwa utovu wa nidhamu uliouonyesha kwa kumpora karatasi mtangaza matokeo vipi kama ukiteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya hutakuwa kiongozi wa kuchapa watu bakora?