Hivi Baba Levo ni mgombea dhaifu??
The guy has it all.
Elimu? Hakuna anayejali elimu ni hapa tu JF ambapo Wengi wetu tumesoma na hatuna kazi. Wapiga kura wengi wanataka mtu anayefanana nao...na Baba Levo ni typical sample ya mtu wa kawaida wa mtaani....
Upinzani ni mkubwa lakini kwasababu Zitto ana uzoefu.