Usimlaumu hana tofauti na wengine wanaompa sifa Magu hadi Magu mwenyewe anashangaa, isipokuwa utofauti wao ni kwamba yeye anampa sifa diamond. Kila mtu anasifia anapopatia msosi. Utasikia waziri anasema tumshukuru Magu kwa mvua kunyesha ...Nilikua namkubal Sana zaman Siku hiz sijui kawaje, imagine kuwa na Baba kama Baba levo, mxieew, kuna umri mwingine kuwa chawa hata haipendezi, Sijui hana ndugu wa kumshauri , yani umaskin mbaya sana , tusomeshe tu watoto wetu
Usimlaumu hana tofauti na wengine wanaompa sifa Magu hadi Magu mwenyewe anashangaa, isipokuwa utofauti wao ni kwamba yeye anampa sifa diamond. Kila mtu anasifia anapopatia msosi. Utasikia waziri anasema tumshukuru Magu kwa mvua kunyesha ...
Akitaka mkia atampa?
Mwili wake hauendani na matendo wala akili yake.
Maisha ni magumu sana