GE2025 Baba Levo: Kazi ya kwanza kufanya Kigoma Mjini ni kufuta barabara za vumbi, yasipotokea mnifukuze kama mbwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.

Siipendi ccm ila Kwa kigoma namuunga mkono Baba levo dhidi ya snitch zitto kabwe ili atambue ccm kama sheitwan hana rafiki.
 
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.

Kabla ya kuleta habari yoyote ya Maigizo ya wanasiasa wa ccm unalaani kwanza kufungiwa hili jukwaa kwa sheria kandamizi maoni
 
Mbunge hana huwezo wa kutengeneza hata kilometa moja ya lami ni vile wananchi hawajuagi ukweli mpaka serikali iamuae
Ubunge ni mahali pa kupiga pesa tu hamna la maana mbunge anaweza kufanya. Ni msaada wa chama tawala kubaki madarakani.
 
Back
Top Bottom