Baba Levo: Kama Simba mtabeba kombe mkavunje ghorofa langu

Baba Levo: Kama Simba mtabeba kombe mkavunje ghorofa langu

Mtangazaji wa Wasafi FM, BabaLevo aweka ahadi kama Simba wakishinda Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki wa klabu hiyo waende kuvunja ghorofa lake.

Credit: Wasafi FM

Hata Mimi ntaweka ahadi ya gari langu Land cruiser v8 View attachment 3320451​

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hatuna muda wa kubishana na vichaa. Akafie mbele huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom