Baba Levo ashinda kesi ya uchaguzi.

Baba Levo ashinda kesi ya uchaguzi.

Walikosea sana kushiriki uchaguzi,CCM sio chama cha kufanya biashara ya siasa,hawaaminiki,ni wajanja wajanja,hawana nia ya dhati ya kubadili mfumo wa siasa kuwa level moja; watakushawishi in favor kwao baada ya kufanya makubaliano wana kuacha. Kipindi kijacho wanaweza kufanya maridhiano ya ulaghai 2028 ili wawazuge lakini target yao ni 2030. Ref ipo kile chama cha ubwabwa,walikitumia chama hicho kutaka kuipasua CDM wakashindwa na sasa Chauma kimeshapotea. Afisa Kipenyo Salim Mwalim soon anarudi zake CCM
 
Kwaiyo ili Ushiriki Uchaguzi lazima Wananchi wapigie kura Wapinzani

kama wameona mgombea wa CCM ndio hatawafaa kwenu iyo sio Demokrasia 😂

ila tatizo Tume ya Uchaguzi!!

Sasa Demokrasia kwenu ipo ivyo lazima Wananchi wapige kura upande wa Upinzani tu🫎🫎

kinyume chake Tumeeeee mbovuuuu🫡🫡
 
Kama ni ivyo🤔

Uchaguzi wanini mana nyinyi tayali mnamatokea yenu mifukoni
mwenu👈

nikama tayali mmepita bila kupigwa ndiomana manake🫎

Wananchi wanaenda tu kupiga kura ya ndio au hapana ✍️
 
Kuna kipindi Zitto akiwa CHADEMA alipigwa kelele za kuutaka urais. Ila cha kushangaza alipoanzisha chama chake akawa hataki urais ila ubunge pekee yake. Zitto ni mnafiki sana. Bora ashinde huyo chawa kuliko mnafiki Zitto.
Mwaka 2020 aliaga wazee wakigoma akasema atagombea Urais wa 2025 cha ajabu akarudi tena kwenye ubunge huyo ndo zitto kinachomfelisha ni kukosa msimamo
 
Just imagine Baba Level na akina Babu Tale ni wabunge wanaosubiriwa na Taifa kutupeleka mbele kimaendeleo... kwamba wakigawa madaftari na kuwalipia wanafunzi wawili watatu ada nchi nzima inalipuka.. WTF.
 
Alisema mhuni hasusiwi, nadhani ameona kwanini alisusiwa
 
Back
Top Bottom