Kuna clip moja wapo kwenye gari na Diamond wapo tungi,Diamond akawa anawagombeza mabaunsa wake kwa kuzubaa, yeye yuko siti ya nyuma anakoleza " mlikuwa wapi halafu nitawazingua nye".
Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
Juzi kati hapa nlikua naenda mlimani City nlikuwa na appointment na mtu hapo sehemu,kumbe sjui hapo kulikuwa na uzinduzi wa movie ya beekeeper kitu kama hicho,kulikuwa na kanyomi kdg
Sasa pale mlimani sahv hawaruhusu watu wenye magari yenye chases# kuingia ss jamaa harmonise akaingia na gari lenye chases walinzi pale wakawa wanamzuia kulikuwa na kasongombingo kdg,ila aliingiza gari na walimtoa upepo wa 100,000
Ila kwa attitude zqke jamaa bado mshamba sana