Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo amesema yeye pamoja na madiwani washirikiane kupunguza baadhi ya tozo zilizopo kwa Wananchi na siyo kuongeza.