Hii ni moja kati ya nyimbo zake mbovu, hakuna ubunifu wowote katika wimbo huu. Na alivyo na mashabiki maandazi wote wanamsifia kuwa katoa bonge la hit.
Hii ni moja kati ya nyimbo zake mbovu, hakuna ubunifu wowote katika wimbo huu. Na alivyo na mashabiki maandazi wote wanamsifia kuwa katoa bonge la hit.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa Tanasha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo dogo yuko darasa la nne B hajui kuchanganya akili imelala yani anachelewa kicatch yupo siku mbili nyuma.Nafikiri ujatafakari nilichokimaanisha.
somehow
Sasa nyie wazee si msikilize les wanyika huko. Hizi za chibu huwezi kuelewa ni nyimbo za vijana.[emoji16][emoji16][emoji16]Sijamuelewa alichoimba, hapo nimeambulia 0.
Ni mapema sana kusema hivyo ila kwa wimbo huu hakuna alichoimba.Pengo la harmo limeanza kuonekana?
Kuna mashabiki zake povu limewatoka, hawataki kuambiwa ukweli.umeongea fact mkuu,,
Ili wimbo ukamilike una vipengele vingi kama vile mastering, vocal, idea, melody, style, rhymes, beat n.k sasa wewe unazungumzia kukurupuka upande gani? Isije ikawa ni style iliyotumika ni ngeni kwako ulitaka abane pua ndio maana ukasema mbaya!? [emoji16][emoji16]Huu wimbo amekurupuka, acha ubishi.
Hiyo style ni mpya hapa Tz na kwa mbali inafanana na Kwaito hivyo lazima muone mashikolo mageni....huyo anaitwa Baba ya muziki maana ndiye msanii pekee aliyethubutu kufanya style nyingi za muziki bila kuogopa kushuka na zote zikahit.Mm binafsi sijaielewa hii nyimbo ni ya taarabu.,singeli.,baikoko au mnanda?!...yani pamoja na kuiba nyimbo ya mtu bado unatoa nyimbo mbovu..kweli cku za domo zinahesabika
#R.I.Pdomo
Wimbo mbovu hiyo iko wazi na mashabiki maandazi kama nyinyi ndo mnafanya wasanii hawaendelei coz hawawezi kukosoa hata msanii akizinguaKatoe wa kwako tuujudge tuone Nani kakurupuka.
Sina tatizo na hiyo style aliyoimba,wimbo ni mbovu wimbo hauna melody nzuri ya kuvutia,idea mbovu yaani hakuna cha maana alichoimba,mwisho hakuna msanii duniani ambaye amewahi kutoa nyimbo halafu ngoma zote zikawa hit kuna nyingine lazima zibume tu km hiiHiyo style ni mpya hapa Tz na kwa mbali inafanana na Kwaito hivyo lazima muone mashikolo mageni....huyo anaitwa Baba ya muziki maana ndiye msanii pekee aliyethubutu kufanya style nyingi za muziki bila kuogopa kushuka na zote zikahit.
Ameimba Hip hop, Zouk, Rhumba, Kwaito, Rnb, Mduara, Singeli, Zanku, Afro beat, Dansi na sasa dude jingine hilo Baba yao style yake bado sijainyaka.....umeelewa?
Ulishaangalia mshumaamashabiki wa KIBA(mama lao) kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji hivo tulieni2 dawa iwaingie
Anaachia kwaajili ya kushindana na wasanii wengine na ili kuzizima ngoma zao mfano baba lao imeachiwa ili kuizima unoKwani mondi ana achia nyimbo kwaajili ya mtu au kwaajili ya mashabiki wake?
Nyimbo za vijana? Vijana wa wapi unaowazungumzia wewe? Mbona Mimi kijana na sihaelewa?Sasa nyie wazee si msikilize les wanyika huko. Hizi za chibu huwezi kuelewa ni nyimbo za vijana.[emoji16][emoji16][emoji16]
Hivo vitu ulivyovitaja havina uhusiano wowote na wimbo kuwa mbaya kuna MTU anaenda kuangalia ili kuprove km wimbo ni mbaya kweli au laah? MTU ana subscribers 2.5m kwanini asipate hao viewers?1M views within 15 hours... #1 on trending Tz
People be like Nyimbo mbaya[emoji23][emoji23]
No1 on trending kama wimbo mbovu kajinyonge.saiz kila kona Ni" Baba lao"......wewe ni baba laao ao ni mama laaao!Sina tatizo na hiyo style aliyoimba,wimbo ni mbovu wimbo hauna melody nzuri ya kuvutia,idea mbovu yaani hakuna cha maana alichoimba,mwisho hakuna msanii duniani ambaye amewahi kutoa nyimbo halafu ngoma zote zikawa hit kuna nyingine lazima zibume tu km hii