Baba kuingiza wanawake ndani kipindi mama amesafiri

Baba kuingiza wanawake ndani kipindi mama amesafiri

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,146
Reaction score
2,338
Wakuu hii imekaaje, nipo nyumbani kwa muda na mama mzazi amesafiri kwenda Dar kuwaona ndugu zangu wengine. Mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani na naona inakuwa too much. Naona kama hamheshimu bi mkubwa.
 
wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Una umri gani mkuu?
 
Wapige picha, yaani tafuta ushahidi hlf mjulishe mama. Mzee wako hajitambui mkomeshe.
Hapa utapata ushauri wa kinafiki tu. Angekuwa mama ndo anaingiza vidume ungeshauriwa vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hamuheshimu bi mkubwa pamoja na wewe, kwakua umeleta uzi hapa naamini una umri wa kutosha kumwambia baba yako kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kwamba jambo hilo analolifanya sio baya ila unahisi nafsi yako kama haifurahishwi, ni dhahiri atachukia, lakini ujumbe utakua umefika.

Njia ya pili kama unahofia kibano, unaweza mwalika ndugu mmoja wa upande wake ambae anamheshimu aje nyumbani muda ambao unajua baba atakua na mama feki, lakini usimueleze kama unamwita kwa sababu hiyo, tafuta sababu nyingine unayoona itaendana na mazingira mnayoishi.

Njia ya tatu kama hua anaenda kanisani au msikitini, mwambie kiongozi wa dini atoe mahubiri yanayohusiana na tabia za baba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Wewe tatizo lako ni nini ?
kwanza hapo sio nyumbani kwako. Acha shobo kwenye makazi ya watu
 
Wapige picha, yaani tafuta ushahidi hlf mjulishe mama. Mzee wako hajitambui mkomeshe.
Hapa utapata ushauri wa kinafiki tu. Angekuwa mama ndo anaingiza vidume ungeshauriwa vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchungulia utupu wa mzazi wako au mtu aliyelala na mzazi wako ni kujitafutia laana.

Hivyo acha kumpotosha kijana wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom