McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Mafuta nchini Nigeria kibao,utashangaa kuona foleni kwenye vituo!!.Hii ndiyo afrika ingawa kiwango cha gesi kikubwa kimepatikana sidhani kama kitamsaidia mwananchi kama huyu asiendelee kutumia kuni
Halafu jamaa kama huyu umwambie habari za serikali tatu sijui Bunge la katiba sidhani kama atakuelewa. Yani wale jamaa na maigizo yao wangekua wanafikiria watu kama hawa zile laki 3 wasingezipokea.
i miss u!Punda afe lakini mzigo wa baba ufike salama.
IGA UFE
i miss u!
Miss u too ...niaje wewe.vibaya hivyo.nafurah kukusikia mkuu.
picha hii imeghushiwa kama saini ya nyerere kwenye hati ya muungano
Hii ndiyo afrika ingawa kiwango cha gesi kikubwa kimepatikana sidhani kama kitamsaidia mwananchi kama huyu asiendelee kutumia kuni