juzi katibu mkuu kiongozi ombeni sefue alisema rais magu ,hawezi kufanya safari za nje kabla hajaiweka nchi katika mstari ulionyoka. nadhani hii ni maana halisi ya BABA KICHWA CHA NYUMBA. baba hawezi kufanya safari zake wakati nyumbani panayumba yumba wanafamilia hawajatulia.