Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

Msambwata Happy Birthday Tanganyika kwa sababu Zanzibar ipo na ina Bendera na wimbo wa Taifa.

Why are you all guys shy to mention Tanganyika what’s wrong. Kama ziliungana Tanganyika na Zanzibar ikazaliwa Tanzania we have either to become one country with one name Tanzania but as long as Zanzibar has its own constitution we demand to have another constitution for Tanganyika and bury the union or have a federation. Vinginevyo CCM can’t keep on fooling around!
 
Haya maneno yametulia.
Askofu amesema ninachokiamini kuwa wakati umefika kutambua tunachokihitaji ni uhuru wa mawazo.
Kujitoa ktk eneo hili kutatudumaza kifikra. Siyo Sawa kuwategemea wahama kutusemea bali uhuru pia uwepo kwa wasiopenda vyama kuwahoji kwa uhuru wonapotulisha hoha
Naona kunaelekea kukucha sasa Tanzania
 
Safi sana, hawa wawili wamelianzisha, next week wataanza wachungaji. Afu Post kama hz znazosisitiza kuhusu kurumbana kwa hoja, huwezi kuwaona wale vijana wenye akili za kijani.
Hawatii mguu hapa
 
Tatizo la waliochangia hadi sasa hamfahamu misemo kupitia parrables tafakari vizuri maandishi ya Baba Askofu.
Mkuu, yaani wote waliokwisha changia hawajui ila wewe tu mmoja ndo unajua!!?? Mkuu nimepitia mmoja baada ya mwingine sijaona hicho unachosema hawajui, labda kwakua wengi kama siyo wote hawajaongea lugha uipendayo.
 
Mwenzake kaambiwa mnyarwanda,sasa huyu atakuwa nzao ya nkurunzinza kabisa..
 
Huu uchaguzi wa juzi umefanya hawa maaskofu waamue kuamka na kuongea kitu. Kuna mambo ni hatari kuyanyamazia eti kisa utapigwa risasi. Ule uhuni umefanyika hadharani na kila mtu ameona, sasa hao maaskofu wameona kuendelea kukaa kimya ndio kaburi leo letu wote. Viongozi wote wa dini amkeni mpaze sauti lazima watenda dhuluma wataona aibu. Leo hii mamlaka zinafanya dhuluma ya wazi kabisa, na viongozi wa mamlaka hizo wanaamka na kuongea bila hofu huku umma wote ukiona na kusikia kinachoendelea.
 
Taratibu wasomi na wenye busara wanaanza kunena, so muda mrefu Bwana atanena na Taifa hili
 
Back
Top Bottom