Baba 'angu unamjua unamsikia??

Baba 'angu unamjua unamsikia??

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Ilitokea katika darasa moja la shule ya msingi mwalimu alipomuuliza Nevig:-

Mwalimu: Ikiwa baba yako kakopa 10,000 dukani na akaambiwa alipe kila siku kwa muda wa siku tano je kila siku atakuwa analipa shilingi ngapi?

Nevig:Ivi mwalimu baba yangu unamjua unamsikia tu??HALIPI NG'O!Hata apewe miezi mia tisa!
 
Back
Top Bottom