[/QUOTE]Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atasemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?
Kuna jamaa yangu kaniambie leo wasira ameonekana ofisi za nec. Sijui anashawishi nini tusubiri tutayajua tu
Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie
Mdogo wangu mie ni mdada ninayekaribia kuustaafu.Ujana umeshaisha mdogo wangu.Nawaonea huruma vijana wangu hawa baba wakambowasije watoa macho yenu maana wanahasira sana.Achoke na yale mahekalu wajomba watajengaje? Binamu, zetu na wapwa wamepelekwa nje kusoma wanahitaji tuition fees.Acha mdogo wangu hawezi kuacha.
Kumbe bado kijana mbichi weye mimi nishakuwa mzee wa makamo, dunia yenu hii nimebaki kigogoyo.
Tetty ukiona baba anahongwa na wageni saa, suti etc ili wageni walale na mama yetu huku baba akisifia ufundi kwa kusema .... Ukitaka kula lazima na wewe uliwe, ujue huyo baba ana walakini, na hajui wajibu wake kama baba wa familia
[/QUOTE]Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atilhalsemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?
Kuna jamaa yangu kaniambie leo wasira ameonekana ofisi za nec. Sijui anashawishi nini tusubiri tutayajua tu
Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie
Na mtoto mwingine ameibuka jioni akisema hakuingia kwenye kikao cha wazee na wala hajapiga kura ya kukamilisha minutes za kikao ha wazee.Sasa sielewi Mjomba alipataje kura yake Ilhali aligoma na hakuwepo kwenye kikao cha kukamilisha mambo.