Baba anatuchonganisha?

Baba anatuchonganisha?

Ni hatari sana kuwa na Baba mwenye ndimi mbili, akija kwa jirani akionana nae anasema hili, akitoka akienda kwa huyu anasema lile. Hana msimamo, sio mkweli, yeye kila siku ana kzai ya kusoma upepo unavyokwenda. Haamini anachokisema, anakazi ya kuwafurahisha watu, akiona mtanuna akija kazi yake ni kuwachekesha ili yaishe apite aendelee na yake. Ni lini baba ataacha kutuchonganisha?

Baba huyu huyu ndio alianzishaga mambo ya Udini, tena akatamka hadharani kuwa Tanzania kuna udini, mambo yalivyozidi akakana, watu wakaumizana weee, baba huyu huyu ndie aliesema Wana-jumuiya wenzake walikua hawataki Kitabu kipya cha maarifa, mambo ya sirini Baba akayatoa hadharani, hivi huku si kuchonganisha wana jumuiya? akasahau kuwa alishakaa na jirani wa kikundi fulani na akawwahidi kuwa uandishi wa kitabu ungesitishwa, Waaapi, alipotoka kakimbilia kwenda kuwaeleza kuwa "nimewaweza" nyie endeleeni tu.

Baba huyu huyu ndio anasema kura isipigwe hadi Daftari liboreshwe lakini ndani ya sentensi hio hio anasema anatakiwa kusaini ndani ndani ya siku 84, baba kachanganyikiwa hajui aende na la uandikishaji au aende na la kusaini. Maskini Baba, hivi hana washauri?

Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atasemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?

Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie

Kwani baba asiye na msimamo kama hili baba letu waswahili wanamuitaje kwa jina moja???? naomba jibu......
 
Baba ambaye ukoo wake umeshindwa kumwelewa maana kila wakati amekuwa akiwaambia wanandugu muwe na akili za Mbayuwayu yaani za kuambiwa changanya na zako. Baba ambaye hajui kukemea watoto wake katika ukoo.
Tatizo baba yetu huyu ni mvivu kutwa kucha anapeleka bakuli kuomba omba kama Matonya sielwi anatufundisha nini sisi wanawe huku
 
Baba huyu huyu ndio anasema kura isipigwe hadi Daftari liboreshwe lakini ndani ya sentensi hio hio anasema anatakiwa kusaini ndani ndani ya siku 84, baba kachanganyikiwa hajui aende na la uandikishaji au aende na la kusaini. Maskini Baba, hivi hana washauri?

Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atasemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?

Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie

Washauri wako wengi tu wengine wa hiari na ndiyo maana anafanikiwa kila hatua!
Huoni hizi sifa zote zinazomwangukia au huoni!

Ila kikubwa anachanganya za kuambiwa na zake.

[h=3]JK mweledi pekee mchakato wa Katiba[/h]
jkikwete.jpg
 
Baba gani huyo anaongea na watoto anakenuakenua kama mwehu afu cha kushangaza kale kadogo kake kale kakulialia kanataka kuchukua mji. Hivi wanatuonaje, atoke wa kukenuakenua aingie wa kulialia!!!!! Let us wait and see

hako kalikosemaga watoto wengine wapigwe tu maana kamechoka! kuna karafiki kake na huyu baba alisemaga hawajakutana barabarani kanataka kaachiwe mji eti, halaf kanatumia mali kalizoiba hapa ili kafanikiwe kuwa baba mwenye nyumba!
 
Umenichekesha sana kijana, kweli baba amezidi kuzurura eti kisa anatembea kapu, miaka 9 bado hachoki kutembeza bakuli? Kwanini asitulie hapa waje wao maana wameshamfahamu na wamemwelewa kuwa tunachotaka watoto ni kipi!

Na kuunga mkono na miguu yote miwili,tuliambiwa Baba huyu bado hajakua hivyo si vizuri kupewa familia.Wazee wakapuuza wakapokea mlungula tukapewa Baba,leo watoto tunalia NJAA,afya inatokota,elimu imeshakufa baba yupo busy anatafuta wanunuaji wa raslimali za Familia.

Hebu ione hii aliyosema Baba kwenye moja ya mikutano yake:

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda kuomba.Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu.Unachotakiwa kufanya ni kujieleza wakikuelewa watakupa"

Na baba mwingine alisema hivi:

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya.Narudia tena katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya"-Baba Ben Nkapa

Na maskini Marehemu baba huyu yeye alisema hivi :

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani mwambieni wewe ni MPUMBAVU" Huyu ni Baba Mwalimu JK

Sasa mpaka hapa sijui baba yetu yupi alitueleza ukweli kati ya hawa watatu.
 
Mdogo wangu mie ni mdada ninayekaribia kuustaafu.Ujana umeshaisha mdogo wangu.Nawaonea huruma vijana wangu hawa baba wakambowasije watoa macho yenu maana wanahasira sana.Achoke na yale mahekalu wajomba watajengaje? Binamu, zetu na wapwa wamepelekwa nje kusoma wanahitaji tuition fees.Acha mdogo wangu hawezi kuacha.
 
Ni hatari sana kuwa na Baba mwenye ndimi mbili, akija kwa jirani akionana nae anasema hili, akitoka akienda kwa huyu anasema lile. Hana msimamo, sio mkweli, yeye kila siku ana kzai ya kusoma upepo unavyokwenda. Haamini anachokisema, anakazi ya kuwafurahisha watu, akiona mtanuna akija kazi yake ni kuwachekesha ili yaishe apite aendelee na yake. Ni lini baba ataacha kutuchonganisha?

Baba huyu huyu ndio alianzishaga mambo ya Udini, tena akatamka hadharani kuwa Tanzania kuna udini, mambo yalivyozidi akakana, watu wakaumizana weee, baba huyu huyu ndie aliesema Wana-jumuiya wenzake walikua hawataki Kitabu kipya cha maarifa, mambo ya sirini Baba akayatoa hadharani, hivi huku si kuchonganisha wana jumuiya? akasahau kuwa alishakaa na jirani wa kikundi fulani na akawwahidi kuwa uandishi wa kitabu ungesitishwa, Waaapi, alipotoka kakimbilia kwenda kuwaeleza kuwa "nimewaweza" nyie endeleeni tu.

Baba huyu huyu ndio anasema kura isipigwe hadi Daftari liboreshwe lakini ndani ya sentensi hio hio anasema anatakiwa kusaini ndani ndani ya siku 84, baba kachanganyikiwa hajui aende na la uandikishaji au aende na la kusaini. Maskini Baba, hivi hana washauri?

Naskia kaibuka mtoto mmoja leo, kaweka ngumu anasema lazima waototo wote wawekewe kwenye orodha kwanza, haya sasa tusubitri mapambazuko ya kesho, Baba atasemaje, je atamchapa huyu mtoto na kumfunga mdomo ili kura iwahi ndani ya siku 84 au atasoma upepo kwanza?

Baba Muombe MUNGU sana, una kipindi kigumu. MUNGU akutangulie

nasikia baba huyu huyu nae akishaondoka ataitwa shujaa.hahahahah
 
Ila babu alituambia mtu huyu hafai kuwa baba lakini kwa 'njaa' za kikundi cha watoto wanajiita wana-mtandao waka kuuza ushauri wa babu na kumpa mtu huyo ubaba, kupitia mwanaye kipenzi amejimilikisha kila kizuri cha nyumba hii na kwiba kila achoweza na kuufanya 'ubaba' uonekane ni rahisi rahisi adi kuwatamanisha watoto wengi watukutu kuutamani ubaba, sasa tunakiona cha 'mtemakuni'
 
Na kuunga mkono na miguu yote miwili,tuliambiwa Baba huyu bado hajakua hivyo si vizuri kupewa familia.Wazee wakapuuza wakapokea mlungula tukapewa Baba,leo watoto tunalia NJAA,afya inatokota,elimu imeshakufa baba yupo busy anatafuta wanunuaji wa raslimali za Familia.

Hebu ione hii aliyosema Baba kwenye moja ya mikutano yake:

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda kuomba.Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu.Unachotakiwa kufanya ni kujieleza wakikuelewa watakupa"

Na baba mwingine alisema hivi:

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya.Narudia tena katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya"-Baba Ben Nkapa

Na maskini Marehemu baba huyu yeye alisema hivi :

"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani mwambieni wewe ni MPUMBAVU" Huyu ni Baba Mwalimu JK

Sasa mpaka hapa sijui baba yetu yupi alitueleza ukweli kati ya hawa watatu.
Umetisha-Lizbon kishakupata
 
Tetty ukiona baba anahongwa na wageni saa, suti etc ili wageni walale na mama yetu huku baba akisifia ufundi kwa kusema .... Ukitaka kula lazima na wewe uliwe, ujue huyo baba ana walakini, na hajui wajibu wake kama baba wa familia
na kuunga mkono na miguu yote miwili,tuliambiwa baba huyu bado hajakua hivyo si vizuri kupewa familia.wazee wakapuuza wakapokea mlungula tukapewa baba,leo watoto tunalia njaa,afya inatokota,elimu imeshakufa baba yupo busy anatafuta wanunuaji wa raslimali za familia.

Hebu ione hii aliyosema baba kwenye moja ya mikutano yake:

"unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda kuomba.huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu.unachotakiwa kufanya ni kujieleza wakikuelewa watakupa"

na baba mwingine alisema hivi:

"kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa anajidanganya.narudia tena katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada anajidanganya"-baba ben nkapa

na maskini marehemu baba huyu yeye alisema hivi :

"siku moja akitokea kiongozi wa taifa letu akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani mwambieni wewe ni mpumbavu" huyu ni baba mwalimu jk

sasa mpaka hapa sijui baba yetu yupi alitueleza ukweli kati ya hawa watatu.
 
Last edited by a moderator:
Halafu huyu faza hataki kukaa nyumbani, yeye kila wakati kiguu na njia. Faza hana akili ya kujitegemea, anadhalilisha familia kuomba omba.

Kwakweli ametupa aibu sana wanafamilia, tena akitamka kwamba asipotembeza kwato zake kwa majirani basi sisi tutakufa na njaa kweli?. ilihali tuna mashamba tena yenye rutuba kuliko kule kwa jirani, yaan amekua mvivu wa kufikiri mpaka inaboa kwakweli labda tuombe awe ni baba wa kambo siku tutamjua baba yetu halisi
 
Back
Top Bottom