Nakubaliana na wewe bila kipingamizi.best huyo baba ana pepola ngono si bure huwezi kumtamani bintiyo wa kumzaa wewe mwenyewe ambaye alipokuwa mdogo ulimwogesha ulimtawaza, na ulimpeleka hospitali pindi akiwa yu mgonjwa iweje sasa utamani uzao wako si ni pepo tu limeaamua kuharibu taifa letu cha kufanya ni kuomba tu haya mapepo yatoke kwetu kwani yako hadi kule kwa viiongozi wa serikali dini na kila eneo siku hizi yamevamia best hakuna cha kufanya zaidi ya maombi tu
Binti akikaa uchi basi ni halali ya baba?
Fikiri zaidi ya hapa wewe..
Ha ha ha mkuu ushatolewa posa na Remote Vatcan wamepitisha m/ume kuolewa. Huoni Papa mwenyewe analiwa na kasisi wake. Ha ha ha ha
Lisilotarajiwa limeshatokea ladyfurahia.Kuna umuhimu wa kuunda msamiati mpya kwa ajili ya hii hali ya kishetani.In this caseinashangaza na kusikitisha kweli siku za mwisho maasi yatakuwa mengi
mtoto wa kumzaa mwenyewe mtoto uliyemwogesha, ukampeleka chooni akiwa mdogo
leo hii amekuwa mjamzito sasa huyo kichanga atakayezaliwa atakwitaje wewe baba wa huyo binti?
inabidi taifa limrudie muumba wake na litubu dhambi hizi jamani
Nani aliyesema halali?
Binti ajipambe ajikwatue amkalie uchi baba'ke? na baba'ke anasifia tu? aaha umependeza binti yangu, una mapaja mazuri?
Kwanza binti au baba gani mwenye maadili akafanya hivyo? fikiri.
Hiyo ni haramu ya baba na binti.
mabinti wenyewe si ndo kama hawa ambao wanawatia baba zao kwenye nyakati ngumu.
View attachment 198244
huyu khamisi sakaya ni yule baba wa mbunge wa cuf magdalena sakaya au mwingine.
Isije kuwa huyo binti ni sampuli ya kina Sitti wanaokaa nusu uchi mbele ya wazee wao na wao wameshakuwa.
Akalambwe miaka 30 tu.
MAADAM Shamba Ni La Bwana Heri, Na Mbuzi Pia Ni Wa Bwana Heri, BASI YOTE HERI. WAOANE TU,WAACHE KUZINI.
Labda kama.msikitin ndo wamepitisha.. Ila kanisa katoliki halijapitisha huo upuuzi
waislam huwa wanaweka oda ya mke wa kuoa hata akiwa na miaka 9... Akifika miaka 14 anatoa mahari.... Tena anayeoa si dogo.. Ni zee la miaka 45.. 50 hadi 60
tabia hzi zipo sana ktk mikoa ya pwani
sasa mzee wa miaka 50 kumwoa binti wa miaka 14 si sawa tu na kutembea na mwanao uliyemzaa... Tehhhhhhhhhh
hapo ndo unakuta mzee haoni shida kula mayai yake... Kama mzee wa miaka 50 anarugusiwa kuoa binti ya miaka 14.
Binafsi nimepata stori za wazee wengi sana kutembea na binti zao waliowazaa.. Na kwa kawaida ni hawa wenzetu waislam.......
Sema tu huyu amekamatwa basi.. Ila wapo wengi mno na inaonekana ni jambo la kawaida

Nakubaliana na wewe bila kipingamizi.
Kwa kweli tupo kwenye zama ngumu mno au sijui tunafikia nyakati za mwisho wa huu Ulimwengu.
Kila siku inayoenda unasikia mikasa ambayo kuamini inakuwa ni vigumu sana lakini ni kweli yanatokea, wengine mtu na Mama yake mzazi wanawekana kinyumba kama Mke na Mume.
Mungu atunusuru na atuepushe na mabalaa