MTUME ALIKUWA NA WAKE WANGAPI VILE? KATI YA WAKE ZAKE MMOJA KALIKUWA KATOTO KENYE UMRI WA MIAKA MINGAPI VILE? Na Alianza Kukashindilia Dude Lenye Jicho Moja Kakiwa Na Umri Wa Miaka Mingapi Vile? HEBU MWENYE DATA AZIMWAGE HAPA.Ila Mimi Nakumbuka Alikaoa Kwa Gia Ya Kukafadhili Kwa Kuwa Mama Yake Hakuwa Na Uwezo,kalikuwa Na Miaka Tisa, Alianza Kukaingilia Kimwili Kalipofikisha Umri Kati Ya Miaka 13 Na 14, Mwenye Data Kamili Anisahihishe.
Sasa mkuu si bora hao ambao wanaruhusiwa kuoa kuliko maPadri ambao hawaruhusiwi kuoa kumbe ni wanataka kuolewa! Mfano mzuri VATCAN makao makuu ya ndoa za jinsia moja mlivyo piga kura kama ya katiba vile kumbe mpitishe kuoana w/ume kwa w/ume. Wallah kwahiyo michezo yenu ya maPadri kuwalawiti watoto wadogo lazima wataipitisha tu hii sheria. Na ikipita mkuu UTAOLEWA na kasisi.
MTUME MUAMED S.A.W Alioa Kabint Cha Miaka 9 Na Alianza Kukaingilia Kakiwa Na Miaka 13 Sasa Wanatofautianaje Na Huyu? WAISLAM HII HOJA MBONA HAIJIBIWI?
akili yako inakupa picha gani kumfananisha bint wa miaka 13 uarabuni(tena kipindi hicho) na huyu dwarf wa kitanzania aliyekosa lishe...?
Au nawe akili yako imekosa lishe bora umebakia kopo tu
hoja ni umri au ni umbile?
Lisilotarajiwa limeshatokea ladyfurahia.Kuna umuhimu wa kuunda msamiati mpya kwa ajili ya hii hali ya kishetani.In this case
mtoto atakayezaliwa atamwita huyo baba fedhuli babubaba au kifupi chake bubaba. Naye bubaba atamwita huyo mtoto jukumtoto ikiwa ni kifupi cha mjukuumtoto na huyo mtoto atamwita mama yake mada ikiwa ni kifupi cha mamadada. Very crazy indeed, but we should come to grips with the reality. Ok, sasa hivi naenda zangu BAKITA kupeleka huu msamiati mpya!
Kuna wazazi kweli hamnazo![]()
Steve Wilkos show live ilionyesha huko Marekani baba aliyeishi na binti yake
akaishia kuwa na mahusiano ya ngona na binti yake hadi kupata mimba,
ikawa vigumu kuwaachanisha kwa vile binti naye alisha-fall in love to her father.
Ukweli sio mambo mapya, yamekuwa yakitokea mara kadhaa kwenye familia mbalimbali nchini hata mataifa makubwa duniani. Bora huku kwetu mila na desturi ni kinga hata majirani wanaweza kuhisi nini kinaendelea kinyume cha huko ughaibuni yanayoendelea ndani ya nyumba ya jirani huwezi kujua kabisa ni siri yao.
Leo ni kizazi cha digital ndio maana tunayaona na kutangaziana haya tofauti na nyakati zile yalikuwa yanajulikana katika kijiji tu.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa katika makabila mbalimbali ya kiafrika inapotokea hivyo kulikuwa na taratibu za kimila kukata ukoo ili kuhalalisha uhusiano. Wanaojua hili wanaweza kutujuza zaidi.
Kwa vyo vyote napinga kwa nguvu zote na ni udhalilishaji usio na haya machoni pa jamii na kimataifa.