HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Nakubaliana na wewe bila kipingamizi.best huyo baba ana pepola ngono si bure huwezi kumtamani bintiyo wa kumzaa wewe mwenyewe ambaye alipokuwa mdogo ulimwogesha ulimtawaza, na ulimpeleka hospitali pindi akiwa yu mgonjwa iweje sasa utamani uzao wako si ni pepo tu limeaamua kuharibu taifa letu cha kufanya ni kuomba tu haya mapepo yatoke kwetu kwani yako hadi kule kwa viiongozi wa serikali dini na kila eneo siku hizi yamevamia best hakuna cha kufanya zaidi ya maombi tu
Kwa kweli tupo kwenye zama ngumu mno au sijui tunafikia nyakati za mwisho wa huu Ulimwengu.
Kila siku inayoenda unasikia mikasa ambayo kuamini inakuwa ni vigumu sana lakini ni kweli yanatokea, wengine mtu na Mama yake mzazi wanawekana kinyumba kama Mke na Mume.
Mungu atunusuru na atuepushe na mabalaa