Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 905
Nimejifunza umetunga uongo ili kutetea tabia yako ya umalaya. Tamaa za ngono zimekushinda sasa unataka kuhalalisha tabia yako ya kufanya ngono holela kubwa ni kitu cha kawaida. Hiyo ni dhambi na Mungu
Mimi sielewi kitu kama nimethibitidha pasi na shaka kuwa amechepuka napiga chini wala sitahitaji kikao na mtu yoyote maamuzi yote yanakuwa ya kwangu.
Iko hivi, katika familia moja yenye mabinti watatu na kijana mmoja wa pekee wa kiume siku moja paliingia tafrani. Kijana wa familia alipofikia umri wa kuoa wazazi na dada zake walihakikisha kijana mpendwa wao anapata mke wa ndoto zake lakini jukumu la kumtafuta mke mwenyewe likawa la muoaji.
Wadangaji kama nawaonaUmedondosha pigo zito kwa vijidume. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Umewai siti hongera mkuuNimejifunza umetunga uongo ili kutetea tabia yako ya umalaya. Tamaa za ngono zimekushinda sasa unataka kuhalalisha tabia yako ya kufanya ngono holela kubwa ni kitu cha kawaida. Hiyo ni dhambi na Mungu atakuhukumu tokana na uzinzi ufanyao kwani amesema usizini.
Tupo wanaume tusioendekeza na kuifanya zinaa kama ibada, tupo wenzako kwa Neema ya Mungu tumeweza kuitiisha miili yetu dhidi ya tamaa ya zinaa. Mke mmoja anatosha kabisa kwani Mungu aliyeanzisha na kuibariki ndoa hakumuumba Adam/Hawa kwa ajili ya maadam/mahawa ila Alimuumba adam/hawa kwa ajili ya adam/hawa namaanisha alimuumba mme/mke kwa ajili ya mme/mke mmoja na sio mme/mke kwa ajili ya wane/wake.
Wadangaji kama nawaona
Kataa ndoaNimejifunza umetunga uongo ili kutetea tabia yako ya umalaya. Tamaa za ngono zimekushinda sasa unataka kuhalalisha tabia yako ya kufanya ngono holela kubwa ni kitu cha kawaida. Hiyo ni dhambi na Mungu atakuhukumu tokana na uzinzi ufanyao kwani amesema usizini.
Tupo wanaume tusioendekeza na kuifanya zinaa kama ibada, tupo wenzako kwa Neema ya Mungu tumeweza kuitiisha miili yetu dhidi ya tamaa ya zinaa. Mke mmoja anatosha kabisa kwani Mungu aliyeanzisha na kuibariki ndoa hakumuumba Adam/Hawa kwa ajili ya maadam/mahawa ila Alimuumba adam/hawa kwa ajili ya adam/hawa namaanisha alimuumba mme/mke kwa ajili ya mme/mke mmoja na sio mme/mke kwa ajili ya wane/wake.
Una tetea dhambi. Dini za mwenyezi Mungu zimeturuhusu tuwaache wanawake wanaosaliti ndoa
Iko hivi, katika familia moja yenye mabinti watatu na kijana mmoja wa pekee wa kiume siku moja paliingia tafrani. Kijana wa familia alipofikia umri wa kuoa wazazi na dada zake walihakikisha kijana mpendwa wao anapata mke wa ndoto zake lakini jukumu la kumtafuta mke mwenyewe likawa la muoaji.
Dhambi nini?Una tetea dhambi. Dini za mwenyezi Mungu zimeturuhusu tuwaache wanawake wanaosaliti ndoa
Imeandikwa usizini. Sasa mkeo akakusaliti na ukawa nauhakika ni heri na ni faida kumuacha. Imeruhusiwa unatetea dhambi. Hata aibu huna mkuuDhambi nini?