mkuu Nyani Ngabu, mbona hii sura kwenye hii picha ni kama wewe? angalia kaka hii wakiiona home (gukaya) watajua tayari mwana wetu ameshawekwa kwenye chupa!
kwa taarifa yako wanawake wa sasa hivi ndo tunawalea nyie kwani nafasi yenu mmeishinda kuitumia hivyo hakutakuwa na pasi tena ndo sisi tumeamua kuingia dimbani kwani tunaoona nyie mmekuwa wavivu sana