passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,650
- 3,345
Wewe una hoja gani? Nimeuliza kistaarabu ukasema ni upuuzi.Naona umeanza kuwashwa sasa, na hivyo umeamua kuniimbia na taarabu kabisa. Jikite kwenye mada. Acha kulazimisha kuwazoea watu usiowafamu.
sasa mpuuzi ni wewe na si Mimi.
Pointi yako ni ipi? Maana mpaka sasa ni kama kasuku tu.