Baba adaiwa kuua mwanaye wa miezi 5

Baba adaiwa kuua mwanaye wa miezi 5

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,362
Reaction score
4,817
Mtoto mchanga wa miezi mitano 5, Leonard Kubilu anadaiwa kuuawa na baba yake mzazi, Kubilu Mayege (20) ambaye ni mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa mamlaka ya Mji Mdogo Katoro, Wilayani Geita baada ya kumpiga sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia mkanda wa suruali na kiatu na kisha kumrusha kwenye kochi, hali iliyopelekea jeraha kichwani.

Inadaiwa baba huyo alikasirika na kushusha kipigo kwa mama na mtoto baada ya mtoto huyo kuanza kulia majira ya saa tano usiku.

Mental problems are real

Kuna haja Serikali ikaongeza nguvu kwenye kuajiri wataalam wa eneo hilo....maana "haimeki sense" kukuta mtoto analia then ukaanza kuwapia mtoto na Mama yake

Mtoto anaweza kulia kwa njaa, kuumwa homa, fizi n.k
 
Mtoto mchanga wa miezi mitano 5, Leonard Kubilu anadaiwa kuuawa na baba yake mzazi, Kubilu Mayege (20) ambaye ni mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa mamlaka ya Mji Mdogo Katoro, Wilayani Geita baada ya kumpiga sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia mkanda wa suruali na kiatu na kisha kumrusha kwenye kochi, hali iliyopelekea jeraha kichwani.

Inadaiwa baba huyo alikasirika na kushusha kipigo kwa mama na mtoto baada ya mtoto huyo kuanza kulia majira ya saa tano usiku.

Wachimvaji wadogo.....ni shida makafara
 
"Kizazi cha nyoka" dunia ipo nyakati ambazo twapaswa kuishi kwa kutoaminiana hata kwa 0.0001% yani "kimachale machale".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom