Hii habari yako mbona n copyright na ile habari ya Ruvuma last wk.....?? Manake hujatutajia jina la eneo yalipotokea mauaji, jina la marehemu maana n jirani yako, jina la mtuhumiwa na lini tukio limetokea muda na mahali...... Vinginevyo nahisi kama fiction story with intention to teach others