Hili lipo wazi kabisa. Inajulikana sasa kuwa baadhi ya Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwa hali na mali. Wako wahafidhina toka kada mbalimbali huko visiwani walio wazi na walio ufichoni ambao, katika siasa, uchumi, n.k. wakitaka kujitenga na Tanganyika. Hili linathibitishwa na kauli za kina Jussa na wengine, na hii ni baada ya kuona kuwa Zanzibar ina rasilimali kadhaa ikiwa ni mafuta na gesi.
Baadhi ya Wazanzibari walioko visiwani hawasiti kuonyesha hisia zao juu ya nia hii ya kujitenga. Wazanzibari walioko Tanganyika hawaonyeshi dalili yoyote ya wazi ya kupingana na ndugu zao wa visiwani, kama kwa njia ya makongamano na hata taarifa rasmi kwa umma. Hili suala wanaachiwa tu viongozi kulisemea wakati walengwa wakuu ni wananchi wa kawaida. Baadhi ya Wazanzibari walio Bara wanafaidika sana na utulivu, amani na uelewa wa watu wa Bara. Watanganyika walioko visiwani hawana amani kama hawa wazanzibari wa Bara.
Enyi wazanzibari mlioko Bara toeni tamko kulaani manyanyaso wayapatayo wa Bara huko visiwani, la tunajua lenu moja. Mnachuma Bara kama waasia wanavyochuma Tanzania. Toeni tamko sasa.
@Raia Fulani
Ndugu yangu hebu kuwa mwadilifu,sasa unasema sisi Wa-zanzibar tuishio Bara tutoe tamko,mimi kwa kweli sikuelewi,tutoe tamko gani?sisi wazee wetu wapo hapa tangu enzi hizo,tumezaliwa huku bara,tumesoma huku bara na hatuja wahi kusikia wabara wakitubagua kwa chochote kikubwa ni kutuita wapemba,na hicho ni kitu cha kawaida wala hakituudhi,hio ni kama LAKAB yetu,cha msingi ni kua hao ndugu zetu huko nyumbani znz wasilete ***** ***** na kutugombanisha wenyewe kwa wenyewe.sisi wote ni wamoja,kama ni makosa basi walioyafanya ni hao wanaoitwa waasisi,vp tuhukumiwe sisi kwa makosa walioyafanya wao?
Pombe hiziNdio maana nikataka ushahidi maana nilijua unaongea jambo usilolijua
1) Hakuna na halijawahi kutolea pendekezo la kufukuzwa wabara kazi znz, hoja iliyotolewa kwenye baraza la wawakilishi ni kuona kama kuna uwezekano wa kuweka upendeleo kwa wazawa(wazanzibar) katika mfumo wa ajila kuliko wageni (watanganyika,wakenya,rwanda n.k), hili sio tatizo kabisa katika kulinda ajira za wananchi, nenda nchi nyingi tu utakuta sera kama hizi.
2) swala la kuchomewa biashara zao una maana gani? na biashara gani hizo? maana wazanzibar wanaimport bidhaa nyingi sana itakuwaje wazichome zifikapo zanzibar? nakuomba uilete hii hoja kiuhalisia ni biashara ipi ilichomwa ndio ntakujibu.
3) Ni uongo wa aina yake, sheria ya dini ya kiislam hamlazimishi mtu kufunga na hakuna sio mkristo(hata hao waislam) wanaolzimishwa kufunga. huu ni UZUSHI WA AINA YAKE kuwahi kuusikia na hauna ithibati.
Pole kwa hoja LEGE LEGE
..wa-ZNZ walioko huku Tanganyika wasisumbuliwe hata kama muungano utavunjika.
..wenye matatizo na muungano ni wanasiasa kama Maalim Seif,Ismael Jussa, na wenzao ndani ya CUF.
Nime-note kitu kimoja toka zamani kwenye chokochoko hii ya kutaka kujitenga.. Kwamba Wapemba wengi na Waunguja wachache wenye asili ya kiarabu ndo wanaonekana kuwa mstari wa mbele kutaka muungano uvunjike.. Waunguja wengi (na haswa weusi) wanaonekana wasiopenda suala la muungano kuvunjika.. Jee inawezekana kuna kikundi cha watu wachache wenye ajenda yao iliojificha..? Kwamba wanataka muungano uvunjike ili iwe rahici kuuvunja na uzanzibari..? Maana nimeshamsikia mpemba mmoja (na ni rafiki yangu na anapata riziki zake hapa bara) akidai angependa Pemba iwe Jamhuri na Maalim awe ni raisi wao.. Wako wangapi hawa (wapemba) wenye mawazo kama haya..?
Ikiwa umefika nchi ya watu wakiwa na dini yao, mila zao na utmaduni wao unatakiwa ufuate sheria sio ulalamike, kwani ulilazimishwa kwenda huko Znzbar si ulijipeleka mwenyewe.
Pole sana mkuu hujui kama Znz ni nchi nyengine na sio Tanzania.
Sisi hapa mtaani tumeshagawana nyumba na viwanja vya Wazanzibari, tunasubiri tu wavunje muungano tujimilikishe rasmi
Wenye matatizo na Muungano tupo wananchi, sio wanasiasa tu...wenye matatizo na muungano ni wanasiasa kama Maalim Seif,Ismael Jussa...
Wazanzibari walioko Dar wakakaa kimya kuhusu suala la Muungano sio wanafik, bali ningewaita wasomi (hata kama hawajenda shule) na wenye kuona mbali. Tatizo la wazanzibari wanakuwa wakaidi na ni watu wa kuendeshwa. Mimi binafsi ni mzenji, lakini ukweli siubanii, bara maisha yapo kuliko visiwani, nishayaona . Hebu tukae tupige hesabu watu wanaokataa Muungano ni watu gani, tutizame maendeleo yao ya kimaisha na usomi pamoja na uelewa! Na huyo Jussa hanaga ubaga, ni miongoni mwa wanafik tu wenye elimi lakini mazumbukuku tu!
Vuguvugu la muungano limeanza juzi tu baada ya kusikia kama zanzibar kuna mafuta! Na hata mtoa mada umelisema ilo kuhusu mafuta na gesi! Kwaiyo kama havipo wangetaka muungano ubaki!
Hao wapinga muungano hawana Akili asilimia kubwa zaidi, na hao viongozi wao wanawatumia ili kufikia malengo yao tu!
Kipindi cha nyuma, mheshimiwa Pinda alisema zanzibar sio nchi, waznz wakaanza kufoka kama Cocacola vile, wakisema zanzibar nchi, hapa ndo nkawaona kama ni wajinga! Hawajui TANZANIA imepatikana vipi!
Wakawa wanalalimika kuwa eti mwisho wa siku pesa zote zinaenda BOT bara, kwa ujuja wao wakukataa kusoma na kuendekeza ubishololo, hawajii kama pesa mwisho wa siku zinalazwa CENTRAL BANK!
Wenyewe wakiambiwa kuwa zanzibar itakuwa kama DUBAI huwa wanafuraaahi na kujiona ndo wao, lakini hawakai wakazingatia Factors za kuwa kama DUBAI, wanafikiri labda mafuta yatatosha kwa kujenga nchi wakati afrika mafuta ndo chanzo cha mifarakano!
Mwanasheria mkuu wa znz alisema hana mkataba wa muungano, raia nao wakaona wamepata la kusema kumbe wamepatikana, ni AIBU KUBWA SANA kwa mwanasheria mkuu kusema maneno yale kisha akawa hana alifanyalo. Mi kwa uwelewa wangu mdogo na sijui sheria basi logically alikuwa aishitaki JMT! Ama aanze kuhoji uwepo wa huo mkataba, lakini mpaka siku anasema hivo hana alolifanya!
Zanzibar itakuwaje kama dubai kama ina viongozi walafi? Ni mabilioni mangapi yanakisanywa zanzibar pamoja na misaada ya nje inayoletwa, tunashindwa kiwa na mradi wa kuzalishia umeme! Hivi sasa bei ya mchele ni khatari, hakuna kinachonunulika kwa bei nafuu!! Muungano apo umechangia vipi katika kuzorota maisha zanzibar?
Kitu chengine, zanzibar wanataka wapewe 50% ya misaada inayokuja TZ. Sasa ikiwa tanganyika ina watu 40 mil. Na znz ina 1 mil kisha umeletwa msaada wa vipolo vya mchele 41 milioni, zanzibar wanataka wapewe vipolo atleast 20 milioni, hivo ndo wanavotaka! Kuna mambo hayawezi kuwa 50% bali tanganyika inalazimika kupata mgao mkubwa. Jengine la kushangaza nimemsikia mtu analalamika juzi, eti umeletwa msaada kutoka WB TZ wanataka kujenga daraja la kigamboni, share ya znz iko wapi? Hapa ndo nkajua kama ndugu zangu hawana kitu kichwani. Yaani msaada ushakuja kwa lengo la kujenga daraja kigamboni tena zanzibar inataka share ya nini hapo? Wakati daraja liko bara?
Zanzibar is normally treated as mkoa tu, and it is kamkoa kimataifa, so itabidi mikoa mengine ilalamike iseme kwanini dar es salaam imeendelea zaidi na maisha mazuri kuliko kwengine!
Wazanzibar amkeni, jengeni tabia ya kuhoji! Tundu Lisu aliwatetea mkamtukana! Ujuha tu!
..wa-ZNZ walioko huku Tanganyika wasisumbuliwe hata kama muungano utavunjika.
..wenye matatizo na muungano ni wanasiasa kama Maalim Seif,Ismael Jussa, na wenzao ndani ya CUF.
we ni mzanzibari au mzanzibara kwa sababu ndugu zetu wa Kitanganyika waliozaliwa kule Zanzibar tunawaita wazanzibara,hapa katika ukumbi wa Great Thinker nimeshindwa kumpata mzanzibari halisi anaeweza kuleta longo longo kama zako ikiwa ww ni mndaki ndaki basi lazima Dada zako wote wamezalishwa na Wa Tanganyika na wamekuwa ni raia wa huku Tanganyika sasa...Ungelitusaidia sana mkuu kama ungelikwenda kule Zenji na kuwaweka sawa wa Zanzibari wenzako kuhusu muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar ili tuweze kuudumisha mileleeeee:israel:Wazanzibari walioko Dar wakakaa kimya kuhusu suala la Muungano sio wanafik, bali ningewaita wasomi (hata kama hawajenda shule) na wenye kuona mbali. Tatizo la wazanzibari wanakuwa wakaidi na ni watu wa kuendeshwa. Mimi binafsi ni mzenji, lakini ukweli siubanii, bara maisha yapo kuliko visiwani, nishayaona . Hebu tukae tupige hesabu watu wanaokataa Muungano ni watu gani, tutizame maendeleo yao ya kimaisha na usomi pamoja na uelewa! Na huyo Jussa hanaga ubaga, ni miongoni mwa wanafik tu wenye elimi lakini mazumbukuku tu!
Vuguvugu la muungano limeanza juzi tu baada ya kusikia kama zanzibar kuna mafuta! Na hata mtoa mada umelisema ilo kuhusu mafuta na gesi! Kwaiyo kama havipo wangetaka muungano ubaki!
Hao wapinga muungano hawana Akili asilimia kubwa zaidi, na hao viongozi wao wanawatumia ili kufikia malengo yao tu!
Kipindi cha nyuma, mheshimiwa Pinda alisema zanzibar sio nchi, waznz wakaanza kufoka kama Cocacola vile, wakisema zanzibar nchi, hapa ndo nkawaona kama ni wajinga! Hawajui TANZANIA imepatikana vipi!
Wakawa wanalalimika kuwa eti mwisho wa siku pesa zote zinaenda BOT bara, kwa ujuja wao wakukataa kusoma na kuendekeza ubishololo, hawajii kama pesa mwisho wa siku zinalazwa CENTRAL BANK!
Wenyewe wakiambiwa kuwa zanzibar itakuwa kama DUBAI huwa wanafuraaahi na kujiona ndo wao, lakini hawakai wakazingatia Factors za kuwa kama DUBAI, wanafikiri labda mafuta yatatosha kwa kujenga nchi wakati afrika mafuta ndo chanzo cha mifarakano!
Mwanasheria mkuu wa znz alisema hana mkataba wa muungano, raia nao wakaona wamepata la kusema kumbe wamepatikana, ni AIBU KUBWA SANA kwa mwanasheria mkuu kusema maneno yale kisha akawa hana alifanyalo. Mi kwa uwelewa wangu mdogo na sijui sheria basi logically alikuwa aishitaki JMT! Ama aanze kuhoji uwepo wa huo mkataba, lakini mpaka siku anasema hivo hana alolifanya!
Zanzibar itakuwaje kama dubai kama ina viongozi walafi? Ni mabilioni mangapi yanakisanywa zanzibar pamoja na misaada ya nje inayoletwa, tunashindwa kiwa na mradi wa kuzalishia umeme! Hivi sasa bei ya mchele ni khatari, hakuna kinachonunulika kwa bei nafuu!! Muungano apo umechangia vipi katika kuzorota maisha zanzibar?
Kitu chengine, zanzibar wanataka wapewe 50% ya misaada inayokuja TZ. Sasa ikiwa tanganyika ina watu 40 mil. Na znz ina 1 mil kisha umeletwa msaada wa vipolo vya mchele 41 milioni, zanzibar wanataka wapewe vipolo atleast 20 milioni, hivo ndo wanavotaka! Kuna mambo hayawezi kuwa 50% bali tanganyika inalazimika kupata mgao mkubwa. Jengine la kushangaza nimemsikia mtu analalamika juzi, eti umeletwa msaada kutoka WB TZ wanataka kujenga daraja la kigamboni, share ya znz iko wapi? Hapa ndo nkajua kama ndugu zangu hawana kitu kichwani. Yaani msaada ushakuja kwa lengo la kujenga daraja kigamboni tena zanzibar inataka share ya nini hapo? Wakati daraja liko bara?
Zanzibar is normally treated as mkoa tu, and it is kamkoa kimataifa, so itabidi mikoa mengine ilalamike iseme kwanini dar es salaam imeendelea zaidi na maisha mazuri kuliko kwengine!
Wazanzibar amkeni, jengeni tabia ya kuhoji! Tundu Lisu aliwatetea mkamtukana! Ujuha tu!
Ikiwa umefika nchi ya watu wakiwa na dini yao, mila zao na utmaduni wao unatakiwa ufuate sheria sio ulalamike, kwani ulilazimishwa kwenda huko Znzbar si ulijipeleka mwenyewe.
Pole sana mkuu hujui kama Znz ni nchi nyengine na sio Tanzania.
Ikiwa umefika nchi ya watu wakiwa na dini yao, mila zao na utmaduni wao unatakiwa ufuate sheria sio ulalamike, kwani ulilazimishwa kwenda huko Znzbar si ulijipeleka mwenyewe.
Pole sana mkuu hujui kama Znz ni nchi nyengine na sio Tanzania.
Ndio maana nikataka ushahidi maana nilijua unaongea jambo usilolijua