Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Huwezi kuja na theory moja tu bila kufikilia theory nyingine unapozungumzia Jambo flan, au unapotaka tatua Jambo flan
Wenda pia bwana yule kaombwa ushirikiano baada ya kuona hawezekaniki, kutokana na uwezo wake mkubwa, chin ya jua Kuna Mambo mengi, BWANA yule mtandao wake Sio wa dunia hii,ila pia kipaji na uwezo wake binafsi ukiangalia sio wa kawaida
Nilicholeta hapa sio theory bali ni ukweli halisi! Tofautisha ukweli halisi na theory!
 
Mkuu;
Kunijadili mimi hakuweza kuiondoa hoja yangu bali utakachokipata ni furaha ombwe ya moyo wako!

Kutupwa kwangu au la kusikusumbue bali niachie mimi!

Jikite kwenye hoja na kama unadhani hakuna hoja basi unaweza kupuuuza na kuondoka!
Huna hoja yeyote.

Soon wewe, Erythrocyte na Salary Slip mtaanza kuandika mada zinazofanana.

Maana adui yenu ni mmoja sasa.

Njaa mbaya sana.

Watu mnaangalia matumbo yenu tu.
 
Mkuu, Magu hayupo tena.

Kama mrija wako umekatwa, jifunze kula kwa jasho kama wengine.

Mimi mwenyewe namfuatilia huyo unayemsema. Haelekei kabisa kuwa kundi la watu walioshika madaraka sasa hivi.

Mfano wewe sasa hivi kwa maandiko yako, unaonekana dhahiri umetupwa nje.
Hali yao mbaya sana kwa sasa, wanabaki kuokoteza stories za vijiweni na kuzileta jf
 
Huna hoja yeyote.

Soon wewe, Erythrocyte na Salary Slip mtaanza kuandika mada zinazofanana.

Maana adui yenu ni mmoja sasa.

Njaa mbaya sana.

Watu mnaangalia matumbo yenu tu.
Huwezi kusema sina hoja yoyote halafu hapo hapo unachangia hoja! Inaonyesha hujui unachokifanya!

Mimi sina adui bali ni hoja za kisiasa!

Kama sisi tunaangalia matumbo yetu, wewe unaangalia nini? kifua, mgongo au miguu?
 
Hali yao mbaya sana kwa sasa, wanabaki kuokoteza stories za vijiweni na kuzileta jf
Bahati nzuri mimi natumia sana internet. Natumia akili zangu timamu.

Huyu mtu alikuja humu 2015 ( sababu za ujio wake zinafahamika )

Na tofauti iliyopo kati ya maudhui yake ya sasa na ya miaka mitano iliyopita ( sababu yake inafahamika )

Ni Maslahi yake binafsi yameguswa.

Huyu mtu hajawahi kuguswa kwa namna yoyote na mateso ya mtu mwingine. Hata mauaji ya kikatili ya kina Akwilini hayakuwahi kumgusa kwasababu hayamhusu.
 
Story bado ni ya kudhani.

Sasa pale ikulu kuna siri gani ili ivujishwe? Kumbuka bwana Yule alisema vita yake itaisha Siku adui yake akifa. Hivo hana vita tena na ikulu
 
J.M hataki kutoa siri za rafiki yake, ila nae ameshaharibiwa sana na "bwana yule" hasa wakati ule akipigiwa chapuo ya kuwa VP, alivyoukosa bwana yule akawa mkali mpaka nikashangaa.
 
Back
Top Bottom