Baadhi ya wanawake wanaojiheshimu hawajui nini wanaume wanataka, kunapelekea wengine kutoolewa kabisa

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
13,179
2,000
Aisee,kuna umri ukifika yaani kuwa na mahusiano unaona kama unapoteza muda.

Kashakujua sio muoaji yaninii akukubalie??
Uzuri ni mkifika 30 halaf hujaolewa mnakuwaga na stress Sana na kutaman ndoa hata kesho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom