Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,955
- 33,820
Unakutana na msichana au mwanamke mnapiga naye story za hapa na pale,unavutiwa nae unapenda mfahamiane zaidi.Anakwambia jina lake lake na ubini wake unamuomba namba ya simu kwa kufahamiana zaidi analeta maringo kibao au akunyime kabisa namba.
Sasa wanashindwa kuelewa kuwa mtu akifahamu jina lake full au unapoishi kukupata wewe ni kitu rahisi sana kwa siku hizi. kwani kuna programu nyingi sana za kupata mawasiliano ya mtu.
Na mwanaume ni mwanaume tu nikiamua kukupata nitakupata kwa njia yoyote na kwa gharama yoyote ile hata uwe mgumu vipi au hata kama umeolewa nitakupate labda nisiwe na nia nawe.
Badilikeni.