Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

kwanza hii story ni ya uwongo, maana kama ni ya ukweli usingekuja kujianika hivyo kwa kujua mwenyewe akiona thread tu lazima atajua. Tukirudi kwenye somo, wewe una tabia za kike, mwanamume hawezi kuanza kuchungulia akaunti ya mtu mwingine ambayo haimhusu na kisha kupeleka thread kwenye jukwaa lilelile linalomhusu mhusika! hiyo akaunti inaweza isiwe ya huyo mtu labda kuna mtu alilogin kwa kutumia laptop yake, wewe unaconclude tu!!! krepu.
 
Umemaliza.

Thread closed.
 
hivi kumbe kumtambua member wa Jf ni deal eeee.aisee sikulitambua hilo.ngoja nami nianze ufukunyuku wangu ili niwatambue japo watatu.
 
Na inawezekana anatangaza kua ana ID ya kike pia... so kaona usumbufu ndio kaja na huo uzi ili kuwapunguza spidi
 
hivi kumbe kumtambua member wa Jf ni deal eeee.aisee sikulitambua hilo.ngoja nami nianze ufukunyuku wangu ili niwatambue japo watatu.

Lol...
Jiunge group za jf whatsapp
Utawajua hadi wenye multiple ID
 
Kama kunamtu ambae ni mwanaume halafu anataka watu wamjue ni mwanamke huyo atakuwa ana uwalakini kwenye kufikiri kwake ......!!

Hawa wanaume ambao wanapenda watambulike kama wanawake, dawa yao ni Museveni wanapona kabisa bila shida yeyote.
 
hata hiyo retarded nayo ina option/variety zake physically retarded, mentally or economically! fafanua ni retardation gani alionayo Kawoli usije ukatuzodoa tukiconclude kama ulivyofanya kwake!
 
Back
Top Bottom