Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

Wana MMU hii sikuitegemea na nilikuwa nabishana sana.
Ishu iko hivi.
Nina mshikaji wangu anaofisi yake ya mambo ya IT ni mtaalam mzuri tu wa masoftwere na kijiofisi chake kinachanganya sana kwani amewin wateja wengi. Mara chache chache huwa namtembelea kwenda kumpa kazi zangu au hata kwa stori. Sasa jana nilipokuwa kwake akaja bradhameni mmoja na laptop yake airekebishe then akasepa kwa miadi kuwa angerudi mida kidogo maana ilikuwa imemzimikia gafla wakati anaitumia. IT akaitengeneza kitu kikawa kiko powa. Sasa katika kujaribu jaribu ile laptp kumbe jamaa alikuwa yuko online JF na hakulog out nahisi kwa kuwa chombo kilimzimikia gafla. IT akawa na busara akataka kutoka kwenye ile page lakini nikashupalia japo tujue anatumia jina gani. ASTAGHAFURLAH uwezi amini jamaa anatumia nickname ya kike maarufu sana hapa JF tena yenye avatar ya mwanamke mzuri mzuri hivi. Halafu amekuwa akianzisha nyuzi nyingi sana humu na kupata koment kibao hasa kutoka kwa members ambao nahisi ni wanaume.
MY TAKE: Kwa wale mliozoea kuchat PM kwakufikiri kuwa mnachati na mabinti plz inawezekana mkawa mnachati na midume wenzenu. Kweli JF ni zaidi ya uijuavyo.
see you next

Ethics za kazi zilitakiwa kumfanya huyo fundi asikuruhusu wewe wala yeye mwenyewe kuangalia habari binafsi za mteja.

Pia, inawezekana uko sahihi. Habari hii tushaisikia sana kabla yako, ila utajuaje kama aliyekuwa anatumia si mtu mwingine? Pengine dada yake na huyo bwana?

Just testing your logic.
 
Una uhakika gani kama ni mwanamme, pengine mtoto sio riziki. Muache ajiite jina la kike
 
Ethics za kazi zilitakiwa kumfanya huyo fundi asikuruhusu wewe wala yeye mwenyewe kuangalia habari binafsi za mteja.

Pia, inawezekana uko sahihi. Habari hii tushaisikia sana kabla yako, ila utajuaje kama aliyekuwa anatumia si mtu mwingine? Pengine dada yake na huyo bwana?

Just testing your logic.

yah nakubali thats why nikasema fundi alikuwa na busara hakutaka kuingia deep ila mimi ndiye niliyelazimisha.
Assumptions ziko nyingi katika hili but I didn't put this thread just to focus on him but the suprised situation I faced, It might be him or anyone else who can do such a thing

LOgic tested
 
kweli wapo,sasa akiweka la kiume atapata vipi wateja
 
Wana MMU hii sikuitegemea na nilikuwa nabishana sana.
Ishu iko hivi.
Nina mshikaji wangu anaofisi yake ya mambo ya IT ni mtaalam mzuri tu wa masoftwere na kijiofisi chake kinachanganya sana kwani amewin wateja wengi. Mara chache chache huwa namtembelea kwenda kumpa kazi zangu au hata kwa stori. Sasa jana nilipokuwa kwake akaja bradhameni mmoja na laptop yake airekebishe then akasepa kwa miadi kuwa angerudi mida kidogo maana ilikuwa imemzimikia gafla wakati anaitumia. IT akaitengeneza kitu kikawa kiko powa. Sasa katika kujaribu jaribu ile laptp kumbe jamaa alikuwa yuko online JF na hakulog out nahisi kwa kuwa chombo kilimzimikia gafla. IT akawa na busara akataka kutoka kwenye ile page lakini nikashupalia japo tujue anatumia jina gani. ASTAGHAFURLAH uwezi amini jamaa anatumia nickname ya kike maarufu sana hapa JF tena yenye avatar ya mwanamke mzuri mzuri hivi. Halafu amekuwa akianzisha nyuzi nyingi sana humu na kupata koment kibao hasa kutoka kwa members ambao nahisi ni wanaume.
MY TAKE: Kwa wale mliozoea kuchat PM kwakufikiri kuwa mnachati na mabinti plz inawezekana mkawa mnachati na midume wenzenu. Kweli JF ni zaidi ya uijuavyo.
see you next

Mimi tatizo langu lipo kwenye Laptop. kama ilizima tu kwa ukosefu wa power inaweza kurudi pale ulipokuwa mara ya mwisho. Utahitaji password kurudi sehemu ilipokuwa. Au fundi ata-log in kama guest haitaenda kule tena. Lakini kama ilipata hitilafu fulani, fundi akaiwasha ika-boot upya, haiwezi kurudi kama vile ilikuwa ime-hibernate. Unayosema yanaweza kutokea but this looks like a cooked story and there are so many such stories in JF.
 
They say:''What happens in Las Vegas,Stays in Las Vegas''
I say:''What happens at JF,Stays at JF''
 
Aise kumbe unaweza kuwa unapiga mistari, unafurahi nmempata mrs sr bachelor kumbe ni mtoto wa cameron

hahahaaaa!
sielewi kwa nini baadhi ya wanaume wanatumia id za kike
hv ukisema jinsia yako dhambi?
 
Back
Top Bottom