mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Mkubwa wapo tena wengi sana humu. Mi naona cku moja tuwaumbuemkuu kumbe na hawa wapo?
Mkubwa wapo tena wengi sana humu. Mi naona cku moja tuwaumbuemkuu kumbe na hawa wapo?
Wewe mwenyeji?
Kwa vile mi sio mgeni...basi yawezekana mi ni mwenyeji!
hahahaha mbona umekaa mkao wa uoga umebana miguu kama sio mwenyeji
Pengine ndivyo nilivyo!
Unanionea aibu?
Kwani we baba mkwe?
Hamna mm sio baba mkwe il kwa sababu tumeanza kupendana unakuw na aibu
Umenifananisha ....nitizame vizuri!
Nmekutizama kwa jicho la tatu na sijakosea
Anyways.....huo ni mtazamo wako na wewe!
Tatizi ni kwa mm siwezi kukupenda au ww huwezi kunipenda mm?
Mchana mwema
Vipi na wale wenye ID za kiume wakati ni mijike