Baadhi ya wanaume Mungu anawaona...

Baadhi ya wanaume Mungu anawaona...

Wanaume wanalaumiwa bure tu hapa. Obviously both guys hajui nyumbani kwao kwa wazazi wa hao majamaa thats why wakibadilisha number tu kawapoteza mazima. Wanakutana kimjini mjini tu wanakulana dada anakua comfortble anabeba mimba. Hapo wa kulaumiwa ni yeye kwani hajui kama kuna njia nyingi za uzazi wa mpango.

Hiyo pesa anayotumia kulea watoto wawili wasio na baba si angeinvest angekua mbali sana.

It's easier to blame other people for your misfortunes.
Situation yake ya umri ilimfanya abet ktk mahusiano. Simlaumu, hapo wanaume wenzangu PIA wamezingua ila yeye amezingua pakubwa kwa kubeba hizo mimba na kuja kulaumu.
 
Kama asipokua makini, next tym atabeba ukimwi badala ya mimba.
 
wengine tupo kwenye ndoa tuna miaka mitatu hatujafanikiwa hao watoto afu mtu unatelekekeza mimba na watoto. afu hao hao badae ndo mnakuja kuwaona wa maana na kujipendekeza wakat ulimwachia mama pekee
 
Ampe mtoto jina sahihi,mambo yanabadilika..atakuja kujilaumu.

Aache asili iwe asili.

Yalotokea ni ya kwao, sehemu ya mafunzo
 
Pole yake sana...
Uamuzi aliouchukua wa kutohangaika tene ni mzuri... Kingine majina ya mwisho ya mtoto aandikishe ya huyo baba halali...



Cc: mahondaw
 
Pole sana kwake. Chanzo cha yote haya ni wanaume. Wanaume wengi wamefanya kuwe na mentality ya 'shake well before use' kwamba mpaka mwanamke apate ujauzito ndio atangaziwe ndoa eti asinunue mbuzi kny gunia. Kwahiyo wanawake wengi huingia kwenye huo mtego
 
Tatizo kubwa ni

Kushika mimba kabla ya ndoa.Natamani mngejua jinsi gani hii mistake moja inatosha kbs kuharibu part kubwa ya maisha yenu...

Kupendana sana mnakujua lkn mbona kila siku mnaangukia pua sasa

Kwanza akubali kakosea tena sana nadhani hili inabidi alijue yaani ajisemee moyoni kbs nimekosea kwa kushika mimba kwa mwanaume ambaye hajanioa.kwa makosa haya imepelekea mwanaume kunitelekeza.

Baada ya hapo akubali kulea watoto na majina aandike ya baba zao halisi hlf awe busy na biashara zake kama unataka Mungu akulipie, wewe hupaswi kuwa na kisasi. Vita sio yake ni ya Mungu Na njia ya rhs ya kutokuwa na kisasi ni kukubali na wewe ulikuwa chanzo Cha tatizo basiiii ukikubali kwamba ulishiriki kusababisha tatizo utakubali matokeo yake

Dada zangu mwanaume hashiki mimba hata mkifanya Mara million,mimba utashika wewe tu.Play safe shika mimba kwa mumewe tu at least unachakuwaambia watu wakakuelewa.Alinioa nikajua ananipenda kwa dhati, nikamshikia mimba akanitelekeza nikiwa na mimba yake,it makes sense hii sio hiyo ya tunapendana nimeshika mimba sawa kwa utaratibu upi????????????
 
Siku hizi wanaume ni matapeli, wanatumia mapenzi kutimiza uhuni wao, poleeeeeh yake muhusika
 
ni mzur mwenyewe afu anajipenda mi nashindwaga kuelewa hapo inakuaje mdada mzur vile hata kuolewa haolewi
Kati ya Joyce Mkuya na Konyagi ni nani alimwangusha mh Mbowe?

Tatizo konyagi haijui kukata mauno ndiyo maana wakasingiziwa wasiojulikana.
 
Ajiandae tu kuishi single daima. KE ukishakuwa na watoto wawili wenye baba-hewa wawili tofauti, kupata mume wa kukuoa ni sawa na kucheza kamari... Kama una mvuto utaendelea kutundikwa mimba tuu
Hiki ndo nachokiona kwenye maisha yake
 
Wanawake mna tabia ya kuwakataa wanaume wenye uelekeo wa maisha kwa kigezo hamna hisia nao, Ila ao wenye hisia nao ndo wanaowaletea hayo majanga
Wamekengeuka, wameacha uasili

Sisi ndo tumeambiwa tuwapende, wao kazi yao kutuheshimu then watajifunza kutupenda kadri tunavoishi nao.

Cha ajabu siku ni kinyume chake. Haya ndo matokeo yake sasa.

Wakiambiwa utasikia....ooho ntaolewaje na mtu nisiye na hisia naye......moyo wangu hauridhiki naye.....simpendi....simfeel

Haya let us continue to watch the game
 
Kuachwa haijalishi umeolewa au hujaolewa,umefunga ndoa au hujafunga,maana wapo walioachika kwenye ndoa zao,shida kubwa naiona ipo kwa huyu dada kwenye selection za wanaume/wapenzi zake.

kuna vitu anaviangalia hajui kuchagua mume,anachagua vi boyfriend yani namfananisha na mwanaume unamtuma dukani akakuletee uzi wa rangi nyekundu yeye anakuletea uzi wa rangi ya maroon,wanawake huita wanaume (colour blind)

na katika hi ishu huyu dada ni (Husband Blind) yani hajui kbsa kuchagua mume,ushauri wakulea watoto peke ake n mzuri lakini bado hautoshi kwasababu itafika muda tena atahtaji MUME si kwa ajili ya kumpa watoto ila atamuhitaji MUME.

utakapofika huo wakati kama bado atakua (husband blind) bado ataingia kingi tena tu,kwahyo huyo dada kaa nae chini mwambie vigezo vya mume,muelekeze mwenzako mwanaume muoaji yukoje,mwanaume wa kuwa mume yukoje,anakuja vipi,anakaa vipi,ana behave vipi,nk nk

Akishakuelewa kwenye eneo hilo la "how to select a husband) sasa ndio mpe ushauri uliompa alee wanae mwenyewe maana wapo wanawake wanaolea watoto zao bila baba wa watoto zao.
 
Si kweli kuwa nilibadilisha namba ukweli kuwa nillibiwa simu
 
Pole sana kwake. Chanzo cha yote haya ni wanaume. Wanaume wengi wamefanya kuwe na mentality ya 'shake well before use' kwamba mpaka mwanamke apate ujauzito ndio atangaziwe ndoa eti asinunue mbuzi kny gunia. Kwahiyo wanawake wengi huingia kwenye huo mtego
ndio utaratibu wetu,mana wengine mayai wamekaangia chips.huyo dada ni kilaza unakuaje na mwanaume hana kazi...kayataka mwenyewe acha dunia ihangaike nae
 
Back
Top Bottom