kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
😂😂siishiNaomba unioneshe mimi tu basi mahali unapoishi. Mimi ni mstaarabu sana tu. Halafu ni mzee mwenye busara zake.
Jibu la swali.lako ni majibu mawiliHabarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Sema wanawake wakiafrika mnamasimango sanaHabarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Naona unatupa madongo tuu kwa wanaume....Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Wazungu wa wapi hao bwashee? 🤣🤣🤣 labda wabibi wa kizunguSema wanawake wakiafrika mnamasimango sana
Mimi nimedate rangi za mbele nilikuwa nateleza ganda la ndizi kuanzia kula n.k
Wazungu wabarikiwe
Kwa ambao wameruka hawa jamaa they are very positive .Wazungu wa wapi hao bwashee? 🤣🤣🤣 labda wabibi wa kizungu
Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Mwanamke anabidi kutohurumiwa labda awe mbibi wa kizunguWewe ukienda kwake umechangia nini?
Ndio maana nawaambie miaka yote vijana #usimuonee_mwanamke_huruma
Hakuna vidada vishezi kama vya kizungu, mambo ya kunasishiwa mimba ili upigwe chini utoe tu child support ni kawaida sana , wadada wa kimatumbi wapo vizuri mno bado hawajaharibika kabisa.Kwa ambao wameruka hawa jamaa they are very positive .
Sio mabibi pekee Ila hata mabibi ukimpata sio mbaya
Mwanamke anabidi kutohurumiwa labda awe mbibi wa kizungu
Ubinafsi wa kijinga Sana unawasumbuaHawa viumbe wanafikiri wapo zamani za kale.
Wajanja wanabadilika kutokana na muda na mazingira.