Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati.
Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 watanzania wametakiwa kusimama katika uhalisia wa kuangalia kiongozi bora wa kumchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo nchini.
Katika hatua nyingine, wananchi hao wametoa wito kwa wanaopanga kususia uchaguzi mkuu kwani jambo hilo si jema na ni kuikosa haki ya msingi.