Baadhi ya wanadiaspora Marekani wapingana na Mhe Tundu Lissu katika majadiliano hadharani

Nimesikiliza majadiliano ya wana Diaspora walioko Marekani hasa jimbo la Washington DC wakiwa na Mhe Tundu Lissu akieleza namna alivyoshambuliwa na hali kisiasa na kidemokrasia nchini huku akiruhusu maswali kutoka kwa baadhi ya watanzania.

Katika hali ambayo ilionekana kabisa kukwera nayo ni baadhi ya wanadiaspora kutofautiana na msimamo wa Lissu kuhusu kupigwa kwake risasi kwa kuhitumu serikali npasipo kuwa na ushahidi wowote ukizingatia yeye Lissu ni Mwanasheria nguli tu.

Maswali hayo yamekuwa yakimkera sana na kuanza kujibizana na muuliza maswali hata kabla ya kumaliza kuuliza swali.Lissu amekuwa akieleza kuhusu tukio kama vile ana ushahidi wote wa tukio na kutaka kuwaaminisha wanadiaspora kuwa serikali ya Tanzania ni mbaya sana na ya kinyama sana na huku tunaishi kama vile tuko jehanamu yaani ni vitishi vitupu katika maelezo yake kiasi cha kushauri basi na wanadiaspora wengine kuwa kama hali ni hiyo basi usirudi huko omba ukimbizi huku Marekani.

Lakini katika maelezo yake yeye Lissu anasema atarudi tu pale madaktari wake watakapo mwambia kuwa sasa uko mzima kurudi nyumbani na huku akisema dunia yote itajua kuwa Lissu sasa anarudi nyumbani na kutaka serikali imlinde 24/7

Nadhani kutofautiana na wanadiaspora kwa msimamo wake huo ndiyo utamfanya aonekane mijadala yake baadhi ya watz kutoshiriki kwa maana ya kutafuta solution kama kweli kuna matatizo.

Nadhani atakuwa anapambana na maswali magumu kila mkutano wake anaofanya na kama kweli anajua kila kitu kilichotokea kwanini anaogopa kusema na hata kuwataja hao ambao anasema akiwataja basi watauwawa siku inayofuata.

Lissu kuna kitu nadhani anakitafuta katika kujenga hizo hofu kwa watz na propaganda anazozieneza. Sijasikia hata Serikali moja duniani ikisupport chochote kuhusu Lissu pamoja na maneno yake yote hayo ya kusema kuwa ni serikali ndiyo imefanya jaribio hilo.
Pumbavu!
 
Thread ndefu na yote ni takataka..
Huwezi kuandika maelezo yote ya namna uliyoyatoa na ukawa huna uthibitisho wa kitu kama clip nk nk.
Bwege la Lumumba wewe.
Siwezi kukuwekea hapa clip za saa moja na ziko 4
 
Kwani wanadiaspora wote wako sawa? Kuna wale ambao wazamiaji tu wata reason nini? It doesn’t mean any diaspora can think perfect! True or not true, but one thing is true, Lisu kapigwa risasi 16 na kafannyiwa operation 22: jumla ya risasi 38 zilipigwa! Na bado anaishi! Serikali kimyaaaa na wasiojulikAna;

Logic and reasoning - wachani Lisu aseme ya moyoni; wewe kama ungekuwa lisu ungesema nini?
Siwezi kufanya ujinga anaofanya Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu.hata vitu vya maana yet anapinga tu
 
Siwezi kukuwekea hapa clip za saa moja na ziko 4
Hapo ndio ujinga wako ulipo..
Unaanzishaje thread ya aina hiyo huku ukifahamu fika lazima uwe na uthibitisho?
Nini clip ya 1hr weka hata ya 4hrs ili kuupa nguvu ya hoja na ukweli thread yako..
Hivi ukiwa CCM lazima uwe mjinga eeeh?!
 
Kutafautiana ni moja katika mambo ya demokasia,nyinyi msiopenda kupewa mawazo tafauti ndio mnaona kutafautiana kimawazo ni jambo la ajabu,mnafikia hata kumpiga mtu risasi kwasababu ana mawazo na fikra tafauti
 
Thread ndefu na yote ni takataka..
Huwezi kuandika maelezo yote ya namna uliyoyatoa na ukawa huna uthibitisho wa kitu kama clip nk nk.
Bwege la Lumumba wewe.
MENGELENI KWETU

Maandishi yako katika ujumbe huu, yangekaa vizuri ikiwa ungesema kwa hoja tu, bila kutumia maneno ya udhalilishaji kwa mchangia hoja mwenzio. Mmekuwa ni watu wakulilia sana heshima ya mtu na kutaka sana uhuru wa mtu wa kutoa nje mawazo yake, haujalishi ujumbe huo unakufurahisha ama kukukera kwa kiasi gani, kila mtu anayo haki hiyo. Lakini haki hiyo itafaa sana ikiwa haitaingilia uhuru wa watu wengine na kwa wakati mmoja kutokuhatarisha amani na usalama ndani ya jamii.

Napata hofu na maswali mengi kuhusu demokrasi ya kwenu. Maana ni neno hilo ndilo linalobeba jina lenu. Hukuwa na haja ya kumtusi et kwa kumuita "bwege la lumumba" ikiwa ametoa nje mawazo yake, bwana Mengeleni.

Kwa maana Lumumba ni kwake na kama ni bwege ni yeye; na kwa kusema ukweli ubwege huo hautabadilisha msimamo wake. Utajikuta wewe ndio utaonekana wa ajabu kwelikweli, maana unashindwa kuonesha staha.
 
Nimesikiliza majadiliano ya wana Diaspora walioko Marekani hasa jimbo la Washington DC wakiwa na Mhe Tundu Lissu akieleza namna alivyoshambuliwa na hali kisiasa na kidemokrasia nchini huku akiruhusu maswali kutoka kwa baadhi ya watanzania.

Katika hali ambayo ilionekana kabisa kukwera nayo ni baadhi ya wanadiaspora kutofautiana na msimamo wa Lissu kuhusu kupigwa kwake risasi kwa kuhitumu serikali npasipo kuwa na ushahidi wowote ukizingatia yeye Lissu ni Mwanasheria nguli tu.

Maswali hayo yamekuwa yakimkera sana na kuanza kujibizana na muuliza maswali hata kabla ya kumaliza kuuliza swali.Lissu amekuwa akieleza kuhusu tukio kama vile ana ushahidi wote wa tukio na kutaka kuwaaminisha wanadiaspora kuwa serikali ya Tanzania ni mbaya sana na ya kinyama sana na huku tunaishi kama vile tuko jehanamu yaani ni vitishi vitupu katika maelezo yake kiasi cha kushauri basi na wanadiaspora wengine kuwa kama hali ni hiyo basi usirudi huko omba ukimbizi huku Marekani.

Lakini katika maelezo yake yeye Lissu anasema atarudi tu pale madaktari wake watakapo mwambia kuwa sasa uko mzima kurudi nyumbani na huku akisema dunia yote itajua kuwa Lissu sasa anarudi nyumbani na kutaka serikali imlinde 24/7

Nadhani kutofautiana na wanadiaspora kwa msimamo wake huo ndiyo utamfanya aonekane mijadala yake baadhi ya watz kutoshiriki kwa maana ya kutafuta solution kama kweli kuna matatizo.

Nadhani atakuwa anapambana na maswali magumu kila mkutano wake anaofanya na kama kweli anajua kila kitu kilichotokea kwanini anaogopa kusema na hata kuwataja hao ambao anasema akiwataja basi watauwawa siku inayofuata.

Lissu kuna kitu nadhani anakitafuta katika kujenga hizo hofu kwa watz na propaganda anazozieneza. Sijasikia hata Serikali moja duniani ikisupport chochote kuhusu Lissu pamoja na maneno yake yote hayo ya kusema kuwa ni serikali ndiyo imefanya jaribio hilo.

Huenda kuna kitu masikini unataka kuwakilisha lakini uwezo wa kujenga hoja ni sifuri. Au pengine unaweza isipokuwa upo kimajungu zaidi, hapo lazima upoteze weledi. Watu type yenu kwa kukalia tako moja mmebobea. Hapo kama nakuona wakati unatype, utasema unapisha ushuzi.
 
Tuwekee na mahojiano ambayo watu wamemuunga mkono kutokana na hoja zake hizo, ngoja nikusahihishe ushahidi unatolewa mahakamani huku mtaani unatakiwa kua na uthibitisho sio ushahidi sema naona hili swala vichwa maji wwnti hawalielewagi kunatofauti kati ya proof(uthibitisho) na ushahidi(evidence)
Mkuu hebu tupeane elimu hapa ,kuna tofauti gani kati ya Uthibitisho na Ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anawaambia wao wasirudi hali mbaya na waombe ukimbizi wakati yeye anasema atarudi hata kwa mbinde, hivi anaowaambia ni watoto? Au mataahira? Huko ulaya nani atakulipa 250m simply unauguza ngeu?
 
Nimesikiliza majadiliano ya wana Diaspora walioko Marekani hasa jimbo la Washington DC wakiwa na Mhe Tundu Lissu akieleza namna alivyoshambuliwa na hali kisiasa na kidemokrasia nchini huku akiruhusu maswali kutoka kwa baadhi ya watanzania.

Katika hali ambayo ilionekana kabisa kukwera nayo ni baadhi ya wanadiaspora kutofautiana na msimamo wa Lissu kuhusu kupigwa kwake risasi kwa kuhitumu serikali npasipo kuwa na ushahidi wowote ukizingatia yeye Lissu ni Mwanasheria nguli tu.

Maswali hayo yamekuwa yakimkera sana na kuanza kujibizana na muuliza maswali hata kabla ya kumaliza kuuliza swali.Lissu amekuwa akieleza kuhusu tukio kama vile ana ushahidi wote wa tukio na kutaka kuwaaminisha wanadiaspora kuwa serikali ya Tanzania ni mbaya sana na ya kinyama sana na huku tunaishi kama vile tuko jehanamu yaani ni vitishi vitupu katika maelezo yake kiasi cha kushauri basi na wanadiaspora wengine kuwa kama hali ni hiyo basi usirudi huko omba ukimbizi huku Marekani.

Lakini katika maelezo yake yeye Lissu anasema atarudi tu pale madaktari wake watakapo mwambia kuwa sasa uko mzima kurudi nyumbani na huku akisema dunia yote itajua kuwa Lissu sasa anarudi nyumbani na kutaka serikali imlinde 24/7

Nadhani kutofautiana na wanadiaspora kwa msimamo wake huo ndiyo utamfanya aonekane mijadala yake baadhi ya watz kutoshiriki kwa maana ya kutafuta solution kama kweli kuna matatizo.

Nadhani atakuwa anapambana na maswali magumu kila mkutano wake anaofanya na kama kweli anajua kila kitu kilichotokea kwanini anaogopa kusema na hata kuwataja hao ambao anasema akiwataja basi watauwawa siku inayofuata.

Lissu kuna kitu nadhani anakitafuta katika kujenga hizo hofu kwa watz na propaganda anazozieneza. Sijasikia hata Serikali moja duniani ikisupport chochote kuhusu Lissu pamoja na maneno yake yote hayo ya kusema kuwa ni serikali ndiyo imefanya jaribio hilo.
Lisu ni m.p.a.m.b.a.v sana, yaani anataka urais kwa huruma ya kutangaza kupigwa risasi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom