Baadhi ya wanadiaspora Marekani wapingana na Mhe Tundu Lissu katika majadiliano hadharani

Nimesikiliza majadiliano ya wana Diaspora walioko Marekani hasa jimbo la Washington DC wakiwa na Mhe Tundu Lissu akieleza namna alivyoshambuliwa na hali kisiasa na kidemokrasia nchini huku akiruhusu maswali kutoka kwa baadhi ya watanzania.

Katika hali ambayo ilionekana kabisa kukwera nayo ni baadhi ya wanadiaspora kutofautiana na msimamo wa Lissu kuhusu kupigwa kwake risasi kwa kuhitumu serikali npasipo kuwa na ushahidi wowote ukizingatia yeye Lissu ni Mwanasheria nguli tu.

Maswali hayo yamekuwa yakimkera sana na kuanza kujibizana na muuliza maswali hata kabla ya kumaliza kuuliza swali.Lissu amekuwa akieleza kuhusu tukio kama vile ana ushahidi wote wa tukio na kutaka kuwaaminisha wanadiaspora kuwa serikali ya Tanzania ni mbaya sana na ya kinyama sana na huku tunaishi kama vile tuko jehanamu yaani ni vitishi vitupu katika maelezo yake kiasi cha kushauri basi na wanadiaspora wengine kuwa kama hali ni hiyo basi usirudi huko omba ukimbizi huku Marekani.

Lakini katika maelezo yake yeye Lissu anasema atarudi tu pale madaktari wake watakapo mwambia kuwa sasa uko mzima kurudi nyumbani na huku akisema dunia yote itajua kuwa Lissu sasa anarudi nyumbani na kutaka serikali imlinde 24/7

Nadhani kutofautiana na wanadiaspora kwa msimamo wake huo ndiyo utamfanya aonekane mijadala yake baadhi ya watz kutoshiriki kwa maana ya kutafuta solution kama kweli kuna matatizo.

Nadhani atakuwa anapambana na maswali magumu kila mkutano wake anaofanya na kama kweli anajua kila kitu kilichotokea kwanini anaogopa kusema na hata kuwataja hao ambao anasema akiwataja basi watauwawa siku inayofuata.

Lissu kuna kitu nadhani anakitafuta katika kujenga hizo hofu kwa watz na propaganda anazozieneza. Sijasikia hata Serikali moja duniani ikisupport chochote kuhusu Lissu pamoja na maneno yake yote hayo ya kusema kuwa ni serikali ndiyo imefanya jaribio hilo.
Sio watanzania wote waishio ughaibuni ni diaspora, kuna wanafunzi wengi tu, wafanyakazi kwenye balozi zetu (USA ziko 2), UN na wakazi. Diaspora ni wahamiaji wenye uraia was huko.
 
We bwege , acha kutetea ubwege wa mabwege wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Prince Dos Santos
Labda kuna mtu aliwahi kukuambia ama viongozi wako wa chama au pengine ndio uwezo wako wa kufikiri umekomea hapo. Unadhani ukisha tusi kama hivyo ndio umeshinda hoja yako? Au ndio umeitetea hoja yako?

Jitahidi kuzuia ulimi wa matusi hasa wakati ambao unachangia hoja ikiwa hoja hiyo si ya matusi. Lakini pia, usije kudhani kuwa anayetukana ndiye mwenye uchungu na hasira zaidi: Wengi wa wanaotukana ni wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Na kama wote wa mfano wako ni wana- CHADEMA, basi itachukua miaka na miaka chama kuweza kupata wanachama wa kutosha. Kwa maana hakuna mtu muungwana atakayeweza kuchangamana na wajuzi wa matusi, na wasio kuwa na hoja.
 
Mimi CCM kindakindaki, napenda sera za chama.

But kwa hili la Lissu, aiseee!! Lissu 3 - CCM 0.

Tumepwaya mno, kila mtu anajibu na kutoa tamko juu ya Lissu. Mbaya zaidi matamko mengi yanakinzana!!
 
Tuwekee na mahojiano ambayo watu wamemuunga mkono kutokana na hoja zake hizo, ngoja nikusahihishe ushahidi unatolewa mahakamani huku mtaani unatakiwa kua na uthibitisho sio ushahidi sema naona hili swala vichwa maji wwnti hawalielewagi kunatofauti kati ya proof(uthibitisho) na ushahidi(evidence)
Huwezi kuwa na proof kama hau na evidence, so lisu alete proof kama kweli ilikuwa ni assasnation attempt, la sivyo akirudi segerea inamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikiliza majadiliano ya wana Diaspora walioko Marekani hasa jimbo la Washington DC wakiwa na Mhe Tundu Lissu akieleza namna alivyoshambuliwa na hali kisiasa na kidemokrasia nchini huku akiruhusu maswali kutoka kwa baadhi ya watanzania.

Katika hali ambayo ilionekana kabisa kukwera nayo ni baadhi ya wanadiaspora kutofautiana na msimamo wa Lissu kuhusu kupigwa kwake risasi kwa kuhitumu serikali npasipo kuwa na ushahidi wowote ukizingatia yeye Lissu ni Mwanasheria nguli tu.

Maswali hayo yamekuwa yakimkera sana na kuanza kujibizana na muuliza maswali hata kabla ya kumaliza kuuliza swali.Lissu amekuwa akieleza kuhusu tukio kama vile ana ushahidi wote wa tukio na kutaka kuwaaminisha wanadiaspora kuwa serikali ya Tanzania ni mbaya sana na ya kinyama sana na huku tunaishi kama vile tuko jehanamu yaani ni vitishi vitupu katika maelezo yake kiasi cha kushauri basi na wanadiaspora wengine kuwa kama hali ni hiyo basi usirudi huko omba ukimbizi huku Marekani.

Lakini katika maelezo yake yeye Lissu anasema atarudi tu pale madaktari wake watakapo mwambia kuwa sasa uko mzima kurudi nyumbani na huku akisema dunia yote itajua kuwa Lissu sasa anarudi nyumbani na kutaka serikali imlinde 24/7

Nadhani kutofautiana na wanadiaspora kwa msimamo wake huo ndiyo utamfanya aonekane mijadala yake baadhi ya watz kutoshiriki kwa maana ya kutafuta solution kama kweli kuna matatizo.

Nadhani atakuwa anapambana na maswali magumu kila mkutano wake anaofanya na kama kweli anajua kila kitu kilichotokea kwanini anaogopa kusema na hata kuwataja hao ambao anasema akiwataja basi watauwawa siku inayofuata.

Lissu kuna kitu nadhani anakitafuta katika kujenga hizo hofu kwa watz na propaganda anazozieneza. Sijasikia hata Serikali moja duniani ikisupport chochote kuhusu Lissu pamoja na maneno yake yote hayo ya kusema kuwa ni serikali ndiyo imefanya jaribio hilo.
Crap!
 
Huwezi kuwa na proof kama hau na evidence, so lisu alete proof kama kweli ilikuwa ni assasnation attempt, la sivyo akirudi segerea inamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kua na proof lakini proof hio isiwe admitted as evidence...wakina nassari walikua na proof juu ya watu kuhongwa hela ili wanunuliwe lakini haikua admitted kama evidence
 
Sio watanzania wote waishio ughaibuni ni diaspora, kuna wanafunzi wengi tu, wafanyakazi kwenye balozi zetu (USA ziko 2), UN na wakazi. Diaspora ni wahamiaji wenye uraia was huko.
Asante kwa ufafa uzi.....ktk ukumbi ule walikuwa wanajiita wana diaspora
 
Back
Top Bottom