Sijui Twengine mnachukuliaje vitenge kwa kweli. Vitenge mbona poa tu?
![]()
Sijui Twengine mnachukuliaje vitenge kwa kweli. Vitenge mbona poa tu?
Hapo kifuani kaweka organza eeh...Sijui Twengine mnachukuliaje vitenge kwa kweli. Vitenge mbona poa tu?
![]()
Hahahahahaha, kwa kanileeeeeee. Nikutumie vingapi? Generali karibu anaondoka.Aisee tena nimekumbuka, naomba vitenge aisee, nitakurudishia kakiasi kako, si unapajua pale nyuma ya 'Brigade ya kumi' wanapouza vitenge? Karibu na ile hoteli gani tena?
Vitenge rock bana. Tena hizo wax za holland (super wax delux Vlisco) kimoja 120$, usimpelekee fundi wowote!asante Mwali kwa mshono.......nina kitenge hus kaninunulia toka Holland.....nilikuwa sijui nishoneje.......
Vitenge rock bana. Tena hizo wax za holland (super wax delux Vlisco) kimoja 120$, usimpelekee fundi wowote!
![]()
Alleon | Pagnifik (Visit this!!!)
Kama upo facebook pitia hapa: https://www.facebook.com/media/set/?set=a.166666870030533.35385.166663700030850&type=3Safi sana Mwali kwa picha za mishono.
Mwekundu, kwa hiyo hawa waliovaa vitenge wataolewa fasterrrr kuliko wavaa mini???