Baadhi ya wabunge wapo kwa ajili ya kukamilisha akidi bungeni

venace mwamoto anazunguzia upuuzi tu utadhani sisi wakulima wa kidabaga, kihesa mg, Lukani nk tumemtuma azungumzie hayo mambo ya mara BMT, mara tiefuefu na ujinga mwingine
Wapinzani Huku kilolo leteni mpinzani kwelikweli amtoe huyu mnyalu
 
Huyu ndio mbunge kilaza kuliko wote ndani ya Bunge. Unatamani hata kumkata kibao.
 
Ila nape toka apigwe chini uwazir kabadilika mkuu mwanzo alikuwa sio chanzo cha kufunga bunge live huyu
Ni kawaida mtu akiwa nje ya mfumo wa ccm kuwa na akili, lkn akiingia tu anakuwa taahira. Mifano ipo mingi:- Mzee Polepole, Bashiru, n.k
 
Huyu ndio mbunge kilaza kuliko wote ndani ya Bunge. Unatamani hata kumkata kibao.
Nimecheka sana mkuu watu kama hawa eti ndo wa kulinda rasilimali za Taifa huu utani mkubwa sana
 
Back
Top Bottom