Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,467
- 3,228
Sawa, ila usije kuta yoote hayo ni madeport tu
Sabufa yangu imetengenezwa na SayonaSafi sana kiongozi hivi sayona ni ya mbongo au muwekezaji wa nje?
Washindwe na hizo laana zaowana kuja vijana wa cdm kuja kupinga
Nina cherehani 4... Waziri njoo ufungue kiwanda changu
Subiri bavicha wanakuja sasa hivi kupinga.