Umejambishwa?!umijambishwaje 🙄 👌
😆😆😆 Relax mrembo.Hakuna mnyakyusa mwenye matusi ya kijinga namna hiyo
popy wow kama wewe dubu usie na aibu ndio utaliwa kichwa! nyau wahead!Weweee! Kuna mbwa yeyote wa Chadema wa kuifanya nchi hii isitawalike? Na ajaribu tuone!!!
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kwani kipimo cha ufala utahira uzuzu ujuha humu JF huwa na fala kama wewe kuitusi ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani Mbona ID yako ni ya kishamba tena eti Dr Akili wakati Akili huna hata ya kugia ndevu tu, humu watu wapo busy na mada siyo kusengenya ID kishamba shamba ukizani utapata uteuzi kwa kuandika kingereza kibovu cha kijinga jinga tu, CCM kama wanakuona wewe ndiyo mtetezi wao mitandaoni watakuwa vipofu kwani badala ya kuwatetea unawadhalilisha sanaSchizophrenia ni ugonjwa mbaya kuliko corona. Muathirika anakuwa na auditory & visual hallucinations, manic & depressive moods, persecutaory disorde, grandiosity, paranoia, impulsivity, recklessnes, false beliefs and untouch reality. The condition is genetical, has no cure or vaccine and it is permanent. Hili ndilo gonjwa alilo nalo ndugu yetu Bw. Minyoo. You cannot argue with Minyoo because people will not know the difference.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kwa ufala wako unadhani ukiandika mirembe ukisengenya ID za JF utaonekana ni mjanja wakati wewe mwenyewe hapo ulipo ni mgonjwa wa mirembe, huna kigezo cha kumkosoa yeyote kwani huna Ubongo kichwani umejaa kamasi debe mbili.Nilishalijibu halielewi. Limebaki kunitukana. Ni ligonjwa liko Mirembe. Minyoo imepandisha schizophrenia yake kwa kiwango kikubwa.
Mpaka leo wanamshikilia kwa sababu zisizo na mashiko yoyoteMwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
View attachment 1872428
Halafu wanaogopa hata kuwafikisha mahakamanikuendelea kutetea watu wakamatwe kisa wameandamana maandamano ya Amani kudai katiba mpya kudai CCM iache kuwabambikia kesi za uonevu uongo kwa wapinzani ni Aibu