Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,437
Na mimi nilitaka kuchangia kama wewe.
Nina gari la nissan lilikufa pump...uzuri magari ya Japan yanaingiliana pump tofauti ni housing..
Basi kuna vipump huko dukani wanauza elfu 30, kuna nyingine za elfu 60 wauzaji wanakuambia hizi ndiyo genuine....hakuna kitu kama hicho.
Hizi ni pump za kukusogeza miezi miwili ili ujipange kununua pump genuine...pump genuine haipungui LAKI 3.... haijalishi ni ya Toyota au Nissan.
Mimi namshauri sijui yupo mkoa gani ila kwa Arusha pump genuine nenda duka lipo upande wa kusini mashariki mwa uwanja wa sheikh amri Abeid...duka linaitwa DENSO ,hapo hapo Jirani kuna lingine linaitwa kwa SAKA..huyu saka anadeal na NISSAN ZAIDI....pia waweza kwenda Industrial area kule ARUSHA ART hapa unapata NISSAN,BENZ,VW na magari mengine yote unayojua spea zake ni adimu.
Ila ukienda kwenye haya maduka ya warombo na wakibosho, ndiyo unauziwa please pump 60, 000/- unaambiwa ni genuine kisa tu box lake limeandikwa TOYOTA TOYOTA....kuna spacio ilikuwa inasumbua sana pump, wakiweka za bei rahisi miezi miwili tatizo lipo pale pale....jamaa akafunga roho akanunua pump 350,000/-...ana miaka miwili sasa tatizo limebaki historia...

Msije kuwa mnafunga pump za 20,000/= halafu mseme mmefunga pump genuine.
Maana kwa mbali ndo ninachokiona hapa.
Mwisho angalieni nyaya zinazoingia kwenye tank la mafuta zinapeleka volt ngapi. Kama ni zaidi ya 9.37V basi shida itakuwa hapo.