dr samg
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 292
- 163
Hizi shida tunapata sababu tuko mkoani, kuna passo hapa model ya 2005, mara ya mwisho iliwekwa atf ya toyota t-iv sikumbuki mwaka, lakini juzi kati ilibadilishwa injini odo yake inazaidi ya 200,000 huko hapo likazuka jambo, o/d ina flash ukiweka R au D kutokea P ina jerk then inatoka kama haiko gia namba moja, inatoka kwa tabu, nikaenda diagnosis nikapata majibu haya
Nikaambiwa ni solenoid bas sample ya gear box ikafunguliwa solenoid kama mbili zikatolewa zikatestiwa zikapiga zikarudishiwa, filter ikabadilishwa na atf hii ikawekwa
Baada ya kutembea km 10 ile hali ikarudi, lakini haikudumu sana ikapotea baada ya wiki hivi baada ya mwezi zaidi ikarudi ukiwasha tu gari na kuweka D au R o/d ina blink na jerk zikarudi, hapa hata sijui nifanyaje, nibadili gear box, ni calibrate TCM, nikabadili solenoid zote au nifanyaje JituMirabaMinne nakutegemea, engine ni 1kr-fe niko TA.