JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,829
- Thread starter
- #81
Bado mkuu. Vipi nilete uikague?
Ilete tu mkuu. Nicheck kwa 0621221606
Bado mkuu. Vipi nilete uikague?
Wewe una weledi kuliko waliotengeneza gari? Kuna ATF hazibadilishwi kabisa hadi kufa kwa gear boksi, hata sehemu ya kumwagia gear box fluid hawajaweka. Don't ever think that they are fool
Wewe una ujuzi kuliko waliotengeneza hiyo gearbox? Wewe unadhani hawajui hata maximum temperature ya gear box? Mkuu, elimu zenu zitumieni vizuri, msiwe kama wanaobadili jinsia, wanaona Mwenyezi MUNGU amekosea kuwaumba. Usiwe fundi mzuri anayewapotosha wateja kwenye mambo madogo wakati mambo mengi unatoa elimu nzuri
Mkuu kwenye ATF hakuna huo utaratibu, jitahidi kusoma Manual ya gari yako. Kuna gear box nyingine hupaswi kabisa kubadilisha fluid Hadi hapo gear box itakapokuwa kuwa imekufa
Dah....w mtu unamadin mengi sana, sidhan kama kuna gari itakuja kwako ikaondoka haijapona aiseee, ishu ni moja tu umbaali, Mungu akujalie mambo yako yaende sawa usogee huku Dar, watu wanahangaika sana aisee.
Mimi mwenyewe niliwahi kusikia fundi akisema gearbox haitengenezeki, ikizingua inabidi ukanunue nyingine.
Mcheki jamaa nadhan atakuwe dar, maana alinambia yupo dar maeneo ya magomen pia anaweza kukufata, nivema umuone huenda akakusaidia mkuu.Mimi nimeambiwa leo hii gari nimerudisha nyumbani na nimeambiwa nibadili iwe manual dah
Idea nzuri sana mkuu ngoja nimcheki
Mkuu nipo Dar bado.
Una tatizo gani?
Mkuu umenijibu kule kweny uzi mwingine, ngoja nikae fresh kiuchumi tutachekiana maana mpaka hapa wamenifilisi hawa jamaa
Uko vizuri Sana mkuu Ila Nani na tatizo kuna gari awali lilikuwa linawasha taa ya check engine tukaipuuzia matokeo take ikajaleta ikawaka nyekundu gari likazima kupeleka kwa fundi wakadai engine imekufa tukafungua ikanunuliwa mpya modern ileile ikafungwa haina hata wiki bado inaonesha tena check engine hapo tatizo linaweza kuwa ni nini? Msaada pleaseGuys nmejaribu kufupisha maelezo ila nimeshindwa.
Uko vizuri Sana mkuu Ila Nani na tatizo kuna gari awali lilikuwa linawasha taa ya check engine tukaipuuzia matokeo take ikajaleta ikawaka nyekundu gari likazima kupeleka kwa fundi wakadai engine imekufa tukafungua ikanunuliwa mpya modern ileile ikafungwa haina hata wiki bado inaonesha tena check engine hapo tatizo linaweza kuwa ni nini? Msaada plz
Samahani kiongozi naomba kujua bei za OBD2 sannner ambazo zinapima full system za Nagari nahitaji kununua na pengine wapi tapata original?Shukrani Mkuu.
Mkuu bado inakuwa ngumu kujua tatizo ikiwa taa ya check engine inawaka bila gari kuonesha tatizo lolote. Ndio maana inakuwa ni vizuri zaidi kama gari inaweza kufanyiwa diagnosis na mashine.
Halafu kitu ambacho huwa sielewi ni kwamba engine inakufaje wakati mechanical parts zake zote ni nzima?
[SUP]Mtaalam gari yng haibadili gear na ukiweka D inanguvu ndogo xan hata sehem inakamlima kadogo haipandi alafu ule mshale wa soeed unaishia kwenye 4 tu hata ukanyage exleta hadi mwisho tatizo nn[/SUP]
Wadau hicho kitu kinaitwaje na kinakazi gani kwenye gari?