Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
wasaalam ,

Hakuna mwanadamu mungu alimrudhuku vipawa vingi kama mwanasayansi Leornardo Da Vinci yule mchoraji nguli sana wa mchoro Tata wa mwanadada monalisa.

Mungu alimpa vipawa vingi sana binadamu huyu hata baadhi ya michoro yake ambayo Yeye mwenyewe alijichora inaonyesha dhahiri mwanadamu huyu pia mwenyezimungu alimjalia sura ya busara ,uangavu na ushupavu.

Msingi wa maendeleo mengi ya sayansi , ya sasa basi daVinci ana mchango wake mkubwa mno

Hata kwenye rank za watu wenye IQ za juu sana kuwahi kuishi dunia hii wakamuweka Leornardo DaVinci katika ngazi za juu.... Hayo ni majawabu ya kazi zake, na kila sifa aliyopata hakusingiziwa.....Binafsi natamani angekuwepo zama hizi walau apate shuhudia mchango wa matumizi ya ubongo wake katika dunia ya sasa.

Kama angelilala usiku basi angeliota ndoto zenye kiu na angetamani kufanya chochote , kila aamkapo hakuacha kuishangaza dunia na dunia haikuacha kumuamini hadi muda Anaicha.

Binafsi kwangu ni Mwanasayansi namba moja na bora wa muda wote tangu dunia inaanza mpaka kuisha kwake.....ukiwatoa wateule wa mungu kama Mtume Muhammad , Yesu (issa), baba yetu Ibrahimu, Mussa wa zama za mfalme wa misri mkaidi firauni na wateule wengine wengi.

Mungu hakuacha kumimina neema katika ardhi kadri zama zilivyozidi kujongea ....mwanadamu akarusha ndege, mwanadamu akatengeza magari yenye kasi zaidi ya farasi waliotumika katika vita vya UHUD kule arabuni., mwanadamu akatengeneza bunduki , akatengeneza meli na manowari za kivita, akatengeneza simu na baadae simu janja ..kadri zama zilivyosonga navyo mwanadamu hakuacha kushangaza kwa gunduzi na maboresho mengi ya teknolojia na sayansi Duniani.

THE DA'VINCI SURGICAL SYSTEM.

Labda nigusie hapa kwasababu itafungua milango ya ufahamu wako kwenye nyanja zingine tofauti tofauti.......miaka ya nyuma nyuma wazee walifanya matibabu kwa njia tofauti tofauti kwa dawa za kienyeji na mitishamba na kwa kudra zake mwenyezimungu ziliwapa manufaa nadhani wengi wetu tuna thibati ya tiba hizo ....walipiga chuku, na kutumia vyakula vya asili,vyenye rutba tele kuboresha afya zao.... teknolijia ilipozidi kupamba moto madawa ya kisasa ya viwandani kupitia malighafi asilia... yakatengenezwa kupitia mitishamba ileile ya wazee wetu........lakini katika hizo hizo tiba kuna tiba katika mwili wa mwanadamu zinahitaji upasuaji ili kuungia mwili wa mwanadamu na kuuganga ili kuweza kutatua tatizo.....tumeshuhudia madaktari bingwa wa kupasua sehemu mbalimbali na kutibu sehemu hizo za miili ya wanaadamu

Ngoja tutie sukari kwenye chai zetu sasa

KAMPUNI moja ya amerika ilileta mbinu moja ambayo itapunguza uhitaji wa madaktari wapasuaji. inaitwa INTUTIVE SURGICAL...walileta mbinu ya upasuaji ambayo inashirikisha Maroboti katika kazi nzima na mchakato wa upasuaji... hii ilithibitishwa na kupitishwa kama moja ya tiba na FDA( food and drug administration) mwaka 2000.
Screenshot_20201203-090230.png

Na ilibuniwa ili kuwezesha na kurahisisha upasuaji tiba pasi na kudhuru zaidi. na kuleta athari kubwa za kibinadamu.
Screenshot_20201203-090842.png

Mfumo huo ulipewa jina la Da Vinci
naam!! DAVINCI mwanasayansi nguli kabisa wa muda wote,, somo lake la Human anatomy ambayo inahusishwa mfumo wa mwili na ufanyaji kazi ulipelekea kuundwa kwa roboti mwanzoni kabisa kabisa.
Screenshot_20201203-090953.png

Hapo tumeona kwa uchache mfumo ulivyo , sasa kuwa ile THEORY ya TIME TRAVELLIN ambayo mpaka sasa inadaiwa haiwezekani kutokana na mambo kadhaa kama TIME machine....(kuna maelezo yake tele hapo waliodiriki kuipitia nadhani wanailewa)

Binafsi ninaamini time travelin inaweza kuwezekana lakini pia siamini kwasababu hakuna uthibitisho za kisayansi niko 50/50...

Lakini angefanya vyovyote awezavyo mzungu kudokeza kuhusu kusafiri kwa wakati tumeona kwenye movie kama ya The flash, Avengers Endgame na siries nyingi kama HEROES,inawewezekanaje au ndio hoax ambazo wamezoea kutuchezea kila wapendavyo

Hilo tuliache lisije leta mzozo mpana hapa nikashindwa kuleta uthibitisho.....(maana bado wengi wetu hawaliamini kwa sababu halina ithibati ya kisayansi)

ALEXANDER SMITH THE TIME TRAVELLER

Alexander Smith
analipata kusema kwamba alikuwa amesafiri kwa muda (time travellin) mwaka wa 1981 na alikuwa ameona yajayo hadi miaka ya 2118.
Screenshot_20201229-094400.png

ALEXANDER SMITH

Alifanya mahojiano na Apex Tv kama ilivyoripotiwa , alisema kwamba ilikuwa kwenye mamlaka za siri za CIA na akaongeza kuwa CIA inamtafuta na yuko maficho

Alisema zaidi kuwa aliitembelea mwaka 2118 kama sehemu ya mission ya siri ya CIA. Na akasema anaamini ilikuwa moja ya safari ya kwanza ya muda iliyokuwa imekwenda vyema na kufanikiwa zaidi.

"Nilikwenda safari ya siku zijazo kisha nikarudi zamani zaidi. Hii yote ilitokea mnamo mwaka 1981" alisema bwana smith

Bwana Smith alidai katika siku zijazo ubinadamu utakwisha, miji itajazwa majengo marefu yaliyojaa teknolojia ya ajabu, watu watakuwa na mahusiano na, kutakuwa na roboti za ujasusi, na magari ya kuruka kama ndege.
Screenshot_20201229-084022.png

Naam kama ilikuwa kweli au ni shere bayo tumechezewa kuhusu Smith hatuwezi kufahamu kifupi ni madokezeo ambayo tumepata kuhusu roboti ni dhahiri dunia yetu inakokwenda MAMLAKA nyingi zitashikiliwa na maroboti na KOMPYUTA

Screenshot_20201203-092312.png

Nimekuwekea picha hii huenda ikaongeza tafakuri zaidi

WHO KNOWS ??

UPGRADE YOURSELF

DA'VINCI XV

Kauzi kangu walikahamisha sijui...
Salute Comrades..
Naandika haya sio kwamba nampendelea au kumpaisha kwakua ni role model wangu (My Guru) No ni kwa kupitia uchunguzi nilioufanya kupitia vyanzo mbali mbali vya taarifa kama vile. You tube, Wikipedia, Davinci chanel, Vitabu na filamu kadhaa kisha nikaangalia Utofauti na ufanano na upekee wa Da vinci na wanasayansi wengine..

Biography.Anaitwa Leonardo da Vinci kazaliwa 15 April 1452 na kufariki 2 may 1519. Huyu jamaa Mungu alimpendelea kwakweli maana alijaliwa kila aina ya kipaji na utashi, alijihusisha na

  • Music
  • Uchoraji
  • Fasihi
  • Uhandisi
  • Geology
  • Mathematics
  • Astronomy
  • Botany
  • History
  • Cartography
  • Uandishi
  • Sayansi
  • Architecture
  • Palaeontologist
  • Iconology
  • The list is going on...
Hivyo ni baadhi tu ya taaluma zake alizotendea kazi na zipo nyingi nimeona niishie hapo.
Davinci kagundua mambo mengi mno na mengne yanaendelea kuvumbuliwa kupitia maandishi yake...
Baadhi ya vitu alivyogundua na kazi zake ni hizi..

  • Helicopter
  • Parachute
  • Mkasi
  • Vifaru na Magari ya jeshi
  • Kaingiza mfumo wa Double entry system kwenye Bookkeeping
  • Kachora mfumo wa mishipa na mifupa
  • Geometry kavumbua
  • Optical instruments za barabarani
  • Mifumo ya mabomba ya maji
  • Calculator
  • Katengeneza Kibodi ya kinanda
  • Matumizi ya solar energy
  • Picha ya mlo wa mwisho wa yesu
  • Mona lisa
  • The list is going on..
Sijasema ni most genius kwa kigezo cha mambo aliyogundua bali kwa vipawa alivyokua navyo na kuvitendea kazi.
Hii hapa listi yangu ya watu wenye akili zaidi kuishi hapa duniani.

  1. Yesu wa Nazareth mwana wa bikira maria
  2. Leonardo da vinci
  3. Nicola Tesla
  4. Issac Newton
  5. Da'Vinci Jf expert member
Nini maoni yako...?? Nani Genius wako????
Cc
Palantir hearly Wyatt Mathewson Kiranga zitto junior
 
wasaalam ,

Hakuna mwanadamu mungu alimrudhuku vipawa vingi kama mwanasayansi Leornardo Da Vinci yule mchoraji nguli sana wa mchoro Tata wa mwanadada monalisa.

Mungu alimpa vipawa vingi sana binadamu huyu hata baadhi ya michoro yake ambayo Yeye mwenyewe alijichora inaonyesha dhahiri mwanadamu huyu pia mwenyezimungu alimjalia sura ya busara ,uangavu na ushupavu.

Msingi wa maendeleo mengi ya sayansi , ya sasa basi daVinci ana mchango wake mkubwa mno

Hata kwenye rank za watu wenye IQ za juu sana kuwahi kuishi dunia hii wakamuweka Leornardo DaVinci katika ngazi za juu.... Hayo ni majawabu ya kazi zake, na kila sifa aliyopata hakusingiziwa.....Binafsi natamani angekuwepo zama hizi walau apate shuhudia mchango wa matumizi ya ubongo wake katika dunia ya sasa.

Kama angelilala usiku basi angeliota ndoto zenye kiu na angetamani kufanya chochote , kila aamkapo hakuacha kuishangaza dunia na dunia haikuacha kumuamini hadi muda Anaicha.

Binafsi kwangu ni Mwanasayansi namba moja na bora wa muda wote tangu dunia inaanza mpaka kuisha kwake.....ukiwatoa wateule wa mungu kama Mtume Muhammad , Yesu (issa), baba yetu Ibrahimu, Mussa wa zama za mfalme wa misri mkaidi firauni na wateule wengine wengi.

Mungu hakuacha kumimina neema katika ardhi kadri zama zilivyozidi kujongea ....mwanadamu akarusha ndege, mwanadamu akatengeza magari yenye kasi zaidi ya farasi waliotumika katika vita vya UHUD kule arabuni., mwanadamu akatengeneza bunduki , akatengeneza meli na manowari za kivita, akatengeneza simu na baadae simu janja ..kadri zama zilivyosonga navyo mwanadamu hakuacha kushangaza kwa gunduzi na maboresho mengi ya teknolojia na sayansi Duniani.

THE DA'VINCI SURGICAL SYSTEM.

Labda nigusie hapa kwasababu itafungua milango ya ufahamu wako kwenye nyanja zingine tofauti tofauti.......miaka ya nyuma nyuma wazee walifanya matibabu kwa njia tofauti tofauti kwa dawa za kienyeji na mitishamba na kwa kudra zake mwenyezimungu ziliwapa manufaa nadhani wengi wetu tuna thibati ya tiba hizo ....walipiga chuku, na kutumia vyakula vya asili,vyenye rutba tele kuboresha afya zao.... teknolijia ilipozidi kupamba moto madawa ya kisasa ya viwandani kupitia malighafi asilia... yakatengenezwa kupitia mitishamba ileile ya wazee wetu........lakini katika hizo hizo tiba kuna tiba katika mwili wa mwanadamu zinahitaji upasuaji ili kuungia mwili wa mwanadamu na kuuganga ili kuweza kutatua tatizo.....tumeshuhudia madaktari bingwa wa kupasua sehemu mbalimbali na kutibu sehemu hizo za miili ya wanaadamu

Ngoja tutie sukari kwenye chai zetu sasa

KAMPUNI moja ya amerika ilileta mbinu moja ambayo itapunguza uhitaji wa madaktari wapasuaji. inaitwa INTUTIVE SURGICAL...walileta mbinu ya upasuaji ambayo inashirikisha Maroboti katika kazi nzima na mchakato wa upasuaji... hii ilithibitishwa na kupitishwa kama moja ya tiba na FDA( food and drug administration) mwaka 2000.
View attachment 1662059
Na ilibuniwa ili kuwezesha na kurahisisha upasuaji tiba pasi na kudhuru zaidi. na kuleta athari kubwa za kibinadamu.
View attachment 1662067
Mfumo huo ulipewa jina la Da Vinci
naam!! DAVINCI mwanasayansi nguli kabisa wa muda wote,, somo lake la Human anatomy ambayo inahusishwa mfumo wa mwili na ufanyaji kazi ulipelekea kuundwa kwa roboti mwanzoni kabisa kabisa.
View attachment 1662064
Hapo tumeona kwa uchache mfumo ulivyo , sasa kuwa ile THEORY ya TIME TRAVELLIN ambayo mpaka sasa inadaiwa haiwezekani kutokana na mambo kadhaa kama TIME machine....(kuna maelezo yake tele hapo waliodiriki kuipitia nadhani wanailewa)

Binafsi ninaamini time travelin inaweza kuwezekana lakini pia siamini kwasababu hakuna uthibitisho za kisayansi niko 50/50...

Lakini angefanya vyovyote awezavyo mzungu kudokeza kuhusu kusafiri kwa wakati tumeona kwenye movie kama ya The flash, Avengers Endgame na siries nyingi kama HEROES,inawewezekanaje au ndio hoax ambazo wamezoea kutuchezea kila wapendavyo

Hilo tuliache lisije leta mzozo mpana hapa nikashindwa kuleta uthibitisho.....(maana bado wengi wetu hawaliamini kwa sababu halina ithibati ya kisayansi)

ALEXANDER SMITH THE TIME TRAVELLER

Alexander Smith
analipata kusema kwamba alikuwa amesafiri kwa muda (time travellin) mwaka wa 1981 na alikuwa ameona yajayo hadi miaka ya 2118.
View attachment 1662069
ALEXANDER SMITH

Alifanya mahojiano na Apex Tv kama ilivyoripotiwa , alisema kwamba ilikuwa kwenye mamlaka za siri za CIA na akaongeza kuwa CIA inamtafuta na yuko maficho

Alisema zaidi kuwa aliitembelea mwaka 2118 kama sehemu ya mission ya siri ya CIA. Na akasema anaamini ilikuwa moja ya safari ya kwanza ya muda iliyokuwa imekwenda vyema na kufanikiwa zaidi.

"Nilikwenda safari ya siku zijazo kisha nikarudi zamani zaidi. Hii yote ilitokea mnamo mwaka 1981" alisema bwana smith

Bwana Smith alidai katika siku zijazo ubinadamu utakwisha, miji itajazwa majengo marefu yaliyojaa teknolojia ya ajabu, watu watakuwa na mahusiano na, kutakuwa na roboti za ujasusi, na magari ya kuruka kama ndege.
View attachment 1662071
Naam kama ilikuwa kweli au ni shere bayo tumechezewa kuhusu Smith hatuwezi kufahamu kifupi ni madokezeo ambayo tumepata kuhusu roboti ni dhahiri dunia yetu inakokwenda MAMLAKA nyingi zitashikiliwa na maroboti na KOMPYUTA

View attachment 1662072
Nimekuwekea picha hii huenda ikaongeza tafakuri zaidi

WHO KNOWS ??

UPGRADE YOURSELF

DA'VINCI XV

Nyongeza ukiachana na mwezi kupasuka marambili miaka ya 600 AD (reff quran)pia dunia itabadili mfumo wa kujizungusha hivyo hakuna kifaa kitakachoweza kuzalisha umeme(blackaut)..hayo marobot yatakuwa useless tutarudi zama za ujima tecnologia yoyote haitofanya kazi njaa na shida ilioje..then atakuja binaadamu ambae ni mutant super power (thanos,supper man,dr strange,hellboy sijui vyovyote atakavyoitwa lakin jina lake ni masihi dajar.) Atawapa watu watakacho but watekeleze anayowaambia..na hakuna jambo baya kama kutekeleza atakayokwambia.
 
nmeupitia huo uzi umenifanya nipate sababu nyingi za kutojutia za kumfanya da vinci awe mwanasayansi wangu nambari moja
daaaah sema Vinci nae sio mtu poa sana ...juzi nilikuwa napitia documentary flan inasemekana kwenye ule mchoro wa The last super ,ile picha wamegundua ina particle ndogo ndogo za Viral plus bacterial as well as Fungal DNA( RNA) ..manake huyu jamaa alikuwa anachanganya material ambayo mpaka leo haifahamiki alikuwa anatumia color painter mixture ipi ..

baada ya kuchukua sample kidgo za hizo particle kwenye ile kalatas wakagundua kuwa ile ni blueprint ya jamaaa ...
 
inasemekana lakini kuwa jamaaa alipewa diri na wenye kanisa kuandika the trinity and central dogma ya jesus geneology...

mkuu da vinci ulishawahi sikia hii fununu...?

And inasemekana kuwa jamaa aliandika dogma katika codes ambapo maaskofu huwa wanaenda kupitia kuupdates the secret hidden geneological background ya uzao ule wa jamaa aliyefufuka siku ya tatu...

hebu tupia kitu hapa
 
Mods Hii nyuzi kichwa mlichoniwekea hata Sio chenyewe , heading nliyoweka mwanzo ndiyo yenyewe, Sijui hata hamjaipitia dadeq
 
Back
Top Bottom