wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,123
- 27,367
Nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata jibu maana kwa asilimia kubwa ya minara inayotuzunguka lazma kule juu kileleni huwa kuna taa nyekundu nyingine zinawaka na kuzima nyingine zinawaka moja kwa moja na rangi ni hiyo hiyo nyekundu sijawahi ona taa za rangi nyingine.
Hivi hii hua ni sheria za minara au zinakuwa na maana gani?
Naomba kujuzwa.
Hivi hii hua ni sheria za minara au zinakuwa na maana gani?
Naomba kujuzwa.