Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,083
- 15,219
Na hofu ya siku moja hautakuwa na madaraka au siku moja aliye chini yako atakuwa juu yako isikuzuie kufanya kazi na kuwawajibisha watendaji wazembe walio chini yako. Kikubwa ni kuzingatia miiko na maadili.