Baadhi ya mambo machache mazuri kati ya mengi yaliyofanywa na CCM toka mwaka 1977-2015

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
1. Kumtwanga nduli Idd Amin Dadaa wa Uganda aliyevamia Kagera

2. Kusaidia ukombozi wa nchi za kusini mwa bara la Afrika (SADC):
Kutoa mchango kwa vyama vya ukombozi vya nchi za Kusini mwa Afrika kama vile: Zimbabwe (ZANU), Afrika Kusini (ANC na PAC), Namibia (SWAPO), Angola (MPLA) na Msumbiji (Frelimo).

3. Ujenzi na uanzishwaji wa vyuo vikuu vya umma: UDSM, UDOM, MUHIMBILI UNIVERSITY, ARDHI UNIVERSITY, MUCCOBS, MZUMBE, SUA, IFM, CBE, TIA, MUST, MANDELA UNIVERSITY, DIT e.t.c
udsm.jpg

dsc_0200.jpg

404953_10150544314532135_521882134_8905917_1765737597_n.jpg

2Q==
sokoine.jpg

4. Upanuzi na uboreshaji wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
DSC01902.JPG

services.jpg

5.Kuirudisha madarakani serikali ya Comoro iliyopinduliwa na waasi.
6. Kumsaidia marehemu Laurent Desire Kabila asipinduliwe na Banyamulenge waliokuwa wakisaidiwa na Rwnda and Uganda
7. Kuhifadhi maelfu ya wakimbizi toka Rwanda na Burundi kwa miaka mingi sana.
8. Barabara za lami: DSM-Sumbawanga, DSM-Mwanza, DSM-Tunduma, DSM-Arusha, DSM-Mtwara, DSM-Mbinga, DSM-Bukoba, DSM-Ngara, Iringa-Dodoma (via Mtera), Mbeya - Tabora (via Chunya) n.k n.k
9. Madaraja makuu: Mto malagarasi (kikwete bridge), Rufiji (mkapa bridge), Kilombero
2.jpg

Z

10. Kusomeshwa bure watu wote waliosoma kuanzia mwaka 1977-1995 (darasa la kwanza hadi chuo kikuu)
11. Kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu ili kusaidia kuongeza ulipiaji wa masomo ya elimu ya juu
12. Agatuaji wa madaraka toka serikali kuu kwenda serikali za mitaa
13. Ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi yetu.
14. Kuwakata wana CCM wote waliokengeuka na kukosa maadili ya chama na nchi yaani wezi, mafisadi e.t.c
15. Kujenga uwanja mpya wa kisasa wa Taifa
uwanja.jpg

16. Makabila kuoleana...Mkurya kuoa Mzigua, Msukuma kuoa Mbena, Mkinga kuoa Mluguru n.k n.k (umoja wa kitaifa na undugu ulioasisia na CCM chini ya Hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere)

MORE TO COME......................
 
Last edited by a moderator:
Haya nyie mapoyoyo msiokuwa na shukrani pingeni ukweli huo
 
Hiyo sentensi inawafaa vijana na wazee wa CHADOMO. Huwezi tu shadadia mabaya ya mtu ukabeza mazuri mengi yaliyofanywa

Hivi ndio vituko vya siasa za Tanzania, tulifanya hiki tulifanya kile as if mlikuwa mnatumia ruzuku zenu kufanya hayo mambo.

Ni lini umewahi kusikia vyama vijikisifu kuhusu miradi ya zamani, umewahi kusikia Democrats wakisema tumejenga Hoover Dam au Conservatives wakisema tumejenga the Channel tunnel?
 
miaka 50 unakuja na vitu 13, mnastahili kupumzika

Mimi nadhani tuanzie na baba zenu na mama zenu kwamba nao tangu wazaliwe hawajafanya kitu ikiwemo kuwazaa nyie wanachadema, kuwatawaza mikojo na vinyesi, kuwanyonyesha, kuwalinda muwe salama nk. Walichofanya wazazi wenu ni kuwafundisha ukosefu wa hekima. Hivi katika hali hii kama hamuoni yaliyofanywa na ccm basi hamuwezi kuona yaliyofanywa na baba na mama zenu na maana yake ni kwamba siyo tu kuwa hamna macho basi hata akili, busara na hekima wenzetu hamna! Hatuwezi kuwapa nchi vichaa
 
1. Kumtwanga nduli Idd Amin Dadaa wa Uganda aliyevamia Kagera

2. Kusaidia ukombozi wa nchi za kusini mwa bara la Afrika (SADC):

3. Ujenzi na uanzishwaji wa vyuo vikuu vya umma: UDSM, UDOM, MUHIMBILI UNIVERSITY, ARDHI UNIVERSITY, MUCCOBS, MZUMBE, SUA, IFM, CBE, TIA, MUST, MANDELA UNIVERSITY, DIT e.t.c
udsm.jpg

dsc_0200.jpg

404953_10150544314532135_52188  2134_8905917_1765737597_n.jpg

2Q==
sokoine.jpg

4. Upanuzi na uboreshaji wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
DSC01902.JPG

services.jpg

5.Kuirudisha madarakani serikali ya Comoro iliyopinduliwa na waasi.
6. Kumsaidia marehemu Laurent Desire Kabila asipinduliwe na Banyamulenge waliokuwa wakisaidiwa na Rwnda and Uganda
7. Kuhifadhi maelfu ya wakimbizi toka Rwanda na Burundi kwa miaka mingi sana.
8. Barabara za lami: DSM-Sumbawanga, DSM-Mwanza, DSM-Tunduma, DSM-Arusha, DSM-Mtwara, DSM-Mbinga, DSM-Bukoba, DSM-Ngara, Iringa-Dodoma (via Mtera), Mbeya - Tabora (via Chunya) n.k n.k
9. Madaraja makuu: Mto malagarasi (kikwete bridge), Rufiji (mkapa bridge), Kilombero
2.jpg

Z

10. Kusomeshwa bure watu wote waliosoma kuanzia mwaka 1977-1995 (darasa la kwanza hadi chuo kikuu)
11. Kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu ili kusaidia kuongeza ulipiaji wa masomo ya elimu ya juu
12. Agatuaji wa madaraka toka serikali kuu kwenda serikali za mitaa
13. Ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi yetu.

MORE TO COME......................

Ongezea na kuruhusu vyama vingi pia uhuru wa kuongea ikiwemo hata hoja za hovyo hovyo ili mradi ujumbe ufike.

Pia ccm imefundisha uvumilivu na kuvumiliana makabila na dini mbalimbali, na watu mbalimbali wasio na staha ambao ndiyo msingi wa amani unaoanza kubomolewa na nyinyi UKAWA
 
Last edited by a moderator:
Haya nyie mapoyoyo msiokuwa na shukrani pingeni ukweli huo
target ilikuwa kuifikisha nchi wapi after 54 years? Je hayo munayosifia yanalingana na rasilimali ya nchi iliyokwisha kutumika kwa miaka 54 sasa?
 
Lengo ilikuwa ni kujenga vyuo vikuu vingapi,barabara za urefu gani,kiwango gani,quality ipi na ngapi,madaraja mangapi,shule ngapi,bandari ngapi?viwanja vya ndege vingapi?nk nk na ni kiwango gani cha rasilimali kilipaswa kutumika?weka vitu vyote hapo ndo either tupongeze au tuponde
 
Hivi ndio vituko vya siasa za Tanzania, tulifanya hiki tulifanya kile as if mlikuwa mnatumia ruzuku zenu kufanya hayo mambo.

Ni lini umewahi kusikia vyama vijikisifu kuhusu miradi ya zamani, umewahi kusikia Democrats wakisema tumejenga Hoover Dam au Conservatives wakisema tumejenga the Channel tunnel?

----- kwel ww kwan hao wanaojitapa kuwa elimu bure toka std1 mpaka chuo kikuu hela watatoa mifukon mwao?
 
Nimeona kipaumbele cha kwanza ni kumpiga dadaaa. Haya ongereni.
Swali. Je vyote ulivyoandika vinamsaidia nini mtanganyika wa hali ya chini?
Je vimeongeza idadi ya milo yake kwa siku?
Je vimepunguza gharama za matibabu?
Je gharama za elimu?
Je zimeongeza viwanda nakupunguza wimbi la wasio na kazi?
Je vimemsaidia nini mkulima mdogo wa mazinde na kule mgwashi?
 
----- kwel ww kwan hao wanaojitapa kuwa elimu bure toka std1 mpaka chuo kikuu hela watatoa mifukon mwao?
Ndugu yangu hao jamaa vichwa vyao ni EMPTY.....yaani nazi kabisa. Hata hayajui yanataka nini na yanabisha nini.
 
Wacha ungese kwa miaka 50 Ccm noooooooo

Hujalazimishwa kuipigia kura CCM. CCM imekujengea demokrasia ya kujiunga na chama chochote cha siasa na kumchagua kiongozi wa chama chochote cha siasa. Hili pia ni moja ya JAMBO ZURI AMBALO CCM IKMEKUFANYIA WEWE nyumbu usiye jitambua.
 
Kwahiyo unajisifia kununua chakula cha familia yako?

Kuna wakina baba kazi yao ni kupiga ulabu asubuhi mpaka jioni na familia wametelekeza, wanawaachia wake zao wakihangaika huku na kule kulea familia. Ukimkuta baba anayeijali familia yake lazima umpongeze. ACHA KUJITOA UFAHAMU.
 
Kwahiyo mnajitekenya na kucheka wenyewe? kama mungekuwa mmetekeleza hayo yote mnahangaika nini na kampeni na kuspend over 100 Million per day kuwalipa wasanii ili mpate nyomi? CCM Out
 
Back
Top Bottom